Naombeni ushauri

Naombeni ushauri

Vile meili na ubongo vinashindwa ku-coordinate. Yaani meili unaweza ukawa umecheka unahitaji pumzika lakin ubongo unakua bado una energy, and vice versa.
Mwili huanza kudai muungano kwa kufanya rapid eyes move ment, the ubongo ndo unakupa picha ya kutisha ili adrenalin iweze ku-jumpstart movements za mwili.. Hili tukio lote huchukua kati ya sekunde 8 mpaka 15. hata kama ukiona umekaa kwenye hali hiyo kwa muda mrefu sana, hua ni wenge tu na ile uoga wa ushirikina ndo unafanya uone jambo ni kubwa.. lakini ni kawaida tu.
 
Je umewahi kufanya Kazi za usiku ?

Mfano kuwa Askari , mlinzi n.k

Umepita jeshini ?

If yes hali Kama hiyo alikuwa anapitia mzee Wangu .

Ila dawa iliyomtibu ni Chumvi ya mawe na mkaa .

Yeye alikuwa anaamka sana usiku na akilala anaona kitu au MTU anamkaba anapiga kelele Sana

So nilimpatia Tiba ya Chumvi ya mawe na katika kitanda anaweka mkaa kipande kidogo .

Hali hii imekata .

Hila ilichagizwa na
Kukaa jeshini
Kufanya Kazi za usiku
N.k
Nimeichukua boss asante sana
 
juz yalikuja usiku nikawa nakemea bado magumu nikasoma
Zaburi hayakunisumbua
Na ukikemea ni chap yanatoka

Ni nguvu za giza
Ukisoma neno kuna nguvu inakaa ndani yako (light 💡)

Alf watu wachache wanaosumbuliwa na hayo mambo kuna vitu vikubwa wamebeba

Wakiangalia kwenye ulimwengu wa kiroho wanakuona ulichobeba wanaanza kukufuatilia
Ni kweli
 
Nalala mapema sana saa nne nakuwa nimelala kabisa nimechelewa sana saa tano situmiii vinywaji vyenye caffeine
Achana na kulala usiku lala asibuhi kwa muda wa mwezi mmoja..kama unaendaga kanisani au msikitini au kwa waganga wa kienyeji acha mara moja.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom