Naombeni ushauri

Naombeni ushauri

Jaribu kuchungulia Kwa watu kama watatu tofaut halaf linganisha matokeo, kesi kama hzo ni nyingi sana na wengi hawajijui, humu utaletewa ushauri wa kisomi Kwasabab wengi humu ni wanafiki wengine ni wachawi hvo hawawez kukuambia ukweli
Nakubaliana na wewe
 
Good morng

Ase hii kitu ina ni kwaza sana since nipo mdogo up now tena kipindi nipo mdogo nilikuwa sitamani usiku ufike kabisa ipo hivi

Usiku nikiwa nimelala naweza amka katikati ya usiku nikawa macho up saa kumi au saa kumi na moja na hapo unakuja usingizi ule mzito sana then na muona mtu ila nikitaka kunyanyua shingo nimuone sura nashindwa ana kuwa kama kani kandamiza shingo

Kinacho nikela zaidi nikiwa ugenini ndio kuzidi yaani na muona mtu na pigana nae kabisa ila sura si wezi ona nisha tumia kila mbinu hii hali iishe ina potea ina kuja tena nikisema niombe maombi ya toba na maombi ya vita vita usiku ndio ina kuwa kali zaidi kuliko kawaida

Nakuja kwenu kuomba ushauri njia ipi mzuri nitumie nataka niwe nalala usiku hii kitu ina chosha
Usilale umetaza juu lala ubavu ubavu..
 
My friend kazi yangu mimi ina isha saa tatu usiku hapo hakuna wageni wageni wakiwepo saa sita usiku ndio naenda pumzika
Kama ni hivyo wewe tafuta hakika ya muda halisi ambao unapatwa na ilo tukio unachotakiwa kufanya ni kuu by pass tu..kikubwa kuliko vyote ni kuacha kwenda kanisani na msikitini au kwa waganga wa kienyeji ...hayo matatizo ni circle na hizo imani zilizo potoshwa kinyume na zilivyo kusudiwa
 
Kama ni hivyo wewe tafuta hakika ya muda halisi ambao unapatwa na ilo tukio unachotakiwa kufanya ni kuu by pass tu..kikubwa kuliko vyote ni kuacha kwenda kanisani na msikitini au kwa waganga wa k8nmenyeji ...hayo matatizo ni circle na hizo imani zil8zo potoshwa kinyume na vil8vyo kusudiwa
Sawa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom