Naombeni ushauri

Naombeni ushauri

Maombi ya vita siyo maombi rahisi ni vyema upate muongozo sahihi kutoka kwa mtumishi/ mchungaji au muombaji anayejua maombi hayo. Nakushauri hiyo hali ikianza kemea ita damu ya Yesu kwa kumaanisha ukiwa katika hali hiyo, narudia tena ita "DAMU YA YESU"Amini hiyo hali itatoweka na kila siku itakapokuwa inaanza Fanya vivyo hivyo na hatimaye itapotea kabisa.......naongea haya nikiwa km shuhuda nakushuhudia niliwahi kupatwa na hali hyo ila hadi leo haijawahi kunirudia tena!

Muhimu kabisa usilale kama mpagani Fanya maombi kabla ya kulala kila siku. Mungu ni mwaminifu atakuponya na hiyo shida- pole sana
 
Jana tu imenitokea nmepga zangu tz ndan saa 11 mpk 12 usingz ukanipitia iyo hali ikanitokea mm uwa naona nalinyofoa nyama dudu lisiloeleweka linakuwa mgongon mwangu nikiomba dua ndo linazidisha kunibana kichwa mpaka ugune ndo linakuachia au ujitikise lakini inakuwa mtiti kufanya ivyo ila inatokeaga nikilala peke yangu tu uwa najiuliza sana , tukiwa wawili uwa nasahau hali iyo
 
Hiyo ni Sleep paralysis.
Ifuatilie huko duniani Google.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom