maharage ya ukweni
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 1,434
- 3,254
Asalaam aleykum!
Wakuu habari za siku nyingi,wale waliotangulia mbele za haki mungu awasamehe makosa yao wapate amani na wale wangonjwa Mungu awaondolee maradhi ili waendelee katika shughuli za ujenzi wa taifa.
Katika ukimya wangu wa mda mrefu si kama sikuwa napata maonoi ila nilikuwa napigana vita kubwa sana ya kiroho ambayo ilikuwa nife mimi au waumie wao.Katika vita hii nilipata nguvu baadae kwa nilikuwa napamba na kundi la watu,yaani walikuwa wananiangalia asubuhi mpaka jioni nipo au nimetoka.
Sababu kuu ya vita hii na hawa watu ni kutokana na uwezo ambao mungu amenijaalia.Ntaelezea matukio matatu ambayo yalipelekea mimi kuwa katika vita bila ya mimi kujua,
1.Nilikuwa nafanya kazi Dar lakini nyumba na familia ipo mkoa wa jirani,sasa siku moja nilikuwa nimelala baada ya kumaliza kufanya dua.Ghafla nikawa katika hali ya ufahamu lakini bado nimelala,nikawa naiona nyumba yangu na mazingira kuizunguka ghafla nikaona wachawi wapita mbele ya nyumba yangu.Eeebwaana eeh pale pale nilikuta nimefika na bakora nikawachapa wote wanne wakatawanyika.Hapa ndipo shida ilipoanzia na bila kujua kumbe swala langu limepelekwa kwenye vikao vyao.
2. Katika siku za mapumziko nikiwa nyumbani yaani nikiwa nimelala lakini kuna jicho ambao kama unavyoona CCTV yaani nimelala lakini nyumba yangu na mazingira yake yote nayaangalia.Mda mwingine natoka nafanya doria si kwakuamka kufungua mlango na kutoka hapana yaani kiroho.Nikamaliza kukagua narudi ndani.
3. Kuna siku nimelala ghafla nasikia sauti katika sikio langu la kulia inasema angalia kule ile naangalia namwona mzee mmoja anawalisha MISUKULE unga basi kwa bahati mbaya yule mzee akawa ananiangalia pamoja na misukule yake.Ghafla kukawa na nguvu zinanivuta kwenda kwa yule Mzee ili anilishe unga ambao alikuwa anawalisha misukule yake ile nakaribia tu ukaja upepo mkali ukanichota nikapaa ndio ikawa salama yangu.
Baada ya kuona hivyo ilibidi nirudi kwa mungu kumuuliza kwanini nachukiwa sana bila sababu na kufanyiwa ushirikina kwa kiwango ambacho kimevuka wastani.Kwakifupi mimi siendi kwa waganga isipokuwa kwenye dua,katika maisha yangu hakuna kitu nakichukia kama ushirikina.Lakini kabla sijaenda kwenye dua niliamua mimi mwenyewe kumuuliza Mungu.Kwakuwa mimi ni maislamu nilifanya ifuatavyo kulinga na imani yangu kwakusoma sura zifuatazo na kuweka nia
1.Fatha=7
2.Ikhlas=7
3.Falaq=7
4.Nnas=7
5.Ayat kursiy=7
6.Aman rasul=7
7.Fatha =303
Niliamua kuipa fatha umuhimu kwasababu hufungua mambo mwanzo.Nilitia nia nifanye kwa siku tatu lakini usiku ule ule nilipolala nikaota nipo nikiwa mdogo makamo ambayo sijatimiza hata mwaka.Nikaonaa mama anasafiri kanipakata yuko kwenye gari pembeni yake kukawa na Bibi mmoja basi yule Bibi akaniangalia kwenye paji la uso halafu aka mwambia mama "WEWE MAMA HUYO MWANAO ATAKUWA..........................
Itaendelea
NB:NILIMUONA RAIS WA VENEZUELA AMETEKWA SIKU 7 KABLA NYINYI MKASUBIRI MPAKA BBC NA FOX NEWS NDIO MJUE