Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,162
- 21,296
Anzisha biashara ya nguo
Shukran nduguHapa ndio huwa changamoto mwenye pesa hajui biashara gani ya kufanya mwenye wazo la biashara hana mtaji wa kuanzia anyway! angalia ni kitu gani unachofikira kwa haraka na ukipendacho kufanya, biashara ziko nyingi depends na ww umefocus nini zaidi.Milion 8 ni nyingi kwenye biashara za kati lakini inaweza potea pia usipokuwa na malengo bora
IDEAS
1.Duka la nguo au vyombo
2.Kuuza matofali, kokoto na mchanga
3.Pub
4. Ufundi wa kushona nguo za kike na suti za kiume unanunua machine unaajiri mafundi wazuri.
5.Saloon ya kike au kiume standard kali tu
6.Car wash
ShukraniHapa ndio huwa changamoto mwenye pesa hajui biashara gani ya kufanya mwenye wazo la biashara hana mtaji wa kuanzia anyway! angalia ni kitu gani unachofikira kwa haraka na ukipendacho kufanya, biashara ziko nyingi depends na ww umefocus nini zaidi.Milion 8 ni nyingi kwenye biashara za kati lakini inaweza potea pia usipokuwa na malengo bora
IDEAS
1.Duka la nguo au vyombo
2.Kuuza matofali, kokoto na mchanga
3.Pub
4. Ufundi wa kushona nguo za kike na suti za kiume unanunua machine unaajiri mafundi wazuri.
5.Saloon ya kike au kiume standard kali tu
6.Car wash
Shukrani mkuuAnzisha biashara ya nguo
Ukiwa huna pesa unajikuta una vitu vingi sana vya maana vinakuja kichwani right!? Ila ukishaipata sijui vinaendaga wap! Just kiddingNapenda kuokoa pesa (saving money) nimeweza kufikisha kiasi cha shiling milion 8. Sasa napata wakati mgumu ni biashara gani naweza kuifanya kwa mtaji huu wa pesa.
Nahitaji kuwekeza huko kwenye biashara . Naomben msaada wenu tusaidien wengine.
Ahsanten
Kwa upande wa nguo. N nguo za duka au secondhand clothing (mitumba),Nguo
Vyombo
Vipodozi
Daah hapa nahitaj uchambuzi wa Hali ya juu sana, Coz naona kama ni vitu vipya kwang1. Fresh Foods and Drinks (Branded)
- Hapa utaanzisha restaurant itayohusika na usindikaji wa vinywaji visivyokuwa na kemikali na chakula fresh (Ready to Serve). Ukiangazia sehemu za Drive - In au kufanya delivery within 20 KM. Let's say! John Bambo Sepia (Hii ni juice yenye mchanganyo wa Chenza, Banana, Zabibu na Tangawizi), John Bambo Fellah (Huu ni mchanganyo wa roasted Chicken, Tortillas na Vrille.
2. Clothingline (Branded)
- Utaanzisha mavazi vyema kutafuta wabunifu hata wawili base zaidi katika mavazi ya casual, commercial na business. Tengeneza partnership na watu wenye titles lakini hawana brand. Let's say! John Bambo x Marioo (Hizi ni tisheti, fulana, kofia na sports kits zinazoweza kuvaliwa sehemu yoyote), Hakikisha unalenga soko la kati na chini.
3. Digital Auth / SMM Agency / Multimedia Company (Branded)
- Hapa fungua agency itayohusika na masuala ya kidigitali, uchapaji na uendeshaji masuala kidigitali. Kupitia John Bambo Digital Agency utaweza kulipia packages tofauti kama taasisi, kampuni au mtu binafsi kuendeshwa kwa masuala yako kidigitali, matengenezo ya Billboards, Syncing Boards, Fleets and Co. Uchukuaji picha, video kutengeneza commercial ads and co. Unavyozidi kukua tanua wigo anza Production issues hadi Audiovisuals Company.
NImetoka kulifikiria hili swala muda c mrefu. Ahsante sanaKwangu mimi nitakushauli hivi..
FUNGUA M-PESA,AIRTEL MONEY,TIGO PESA NK
FUNGUA CRDB WAKALA,NMB WAKALA NK.
Endapo ukipata sehemu yenye mzunguko baada ya miezi 6 utakuja kunishukuru..
😂😂fresh TNTYan kitendo tu cha kuuliza hili swali katika dunia ya biashara umeshafail....biashara iweze kuanza na ili ikue au ifanikiwe inahitaji iwe ni hitaji lako la moyo kwanza ambalo litakalopelekea hadi utafute huo mtaji ....
tofauti na hapo itachukua muda sana mpaka miaka mitano ustabilize na si ajabu utajikuta unahama hama biashara....nisiseme sana ushauri wangu tu katika state ulionayo angalia ishu za hisa ama uweke kwenye fixed acc (faida si kubwa lkn walau)ili usipoteze iyo hela maanake gia ulioanza nayo unaweza kupoteza huo mtaji wote
Nakazia.Kwangu mimi nitakushauli hivi..
FUNGUA M-PESA,AIRTEL MONEY,TIGO PESA NK
FUNGUA CRDB WAKALA,NMB WAKALA NK.
Endapo ukipata sehemu yenye mzunguko baada ya miezi 6 utakuja kunishukuru..
Napenda kuokoa pesa (saving money) nimeweza kufikisha kiasi cha shiling milion 8. Sasa napata wakati mgumu ni biashara gani nawezaWekeza upate riba kila wiki kuifanya kwa mtaji huu wa pesa.
Nahitaji kuwekeza huko kwenye biashara . Naomben msaada wenu tusaidien wengine.
Ahsanten