Nifanye biashara ipi kwa mtaji wa milioni 3.5 hadi milioni 4

babaMike

Member
Dec 19, 2022
31
27
Habarini wana Jamiiforums.

Mimi ni mjasiriamali, biashara yangu ya Sasa na iliyofanya Nika make hiyo pesa ni nguo za mtumba nayofanya katika minada...

Natamani kufungua ofisi nyingine, wife ananishauri nifungue duka la kawaida tu yaani la mahitaji ya nyumbani lakini Kila ukijaribu kuomba ushauri kwa watu wanakwambia faida yake ni ndogo ndogo sana na linahitaji usimamizi wa karibu na mimi siwezi kuwa pale a whole day kwa sababu kazi yangu nakuwa minadani.

Leo Kijiji hiki kesho kile.. wife nae ana shughuli zake hawezi kaa dukani, naomba ushauri, kwa mtaji huu nifungue biashara gani ambayo nitaweka mtu wa kumwajiri ikasonga? Usimamizi uwe wa kawaida yaani naweza nisifike siku mbili hadi tatu kwenye biashara Ile na mambo yakawa fresh?.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Mkuu babamike,
Wazo la kuhitaji kufungua biashara ni zuri sana. Ulitaka kufanya diversifcation kuwa na vyanzo tofauti vya mapato? Au unataka kubadilisha biashara kabisa?
 
labda ufungue day care& nursery au ufuge ng'ombe wa maziwa au ufuge nguruwe hapo nyumbani siku ambazo haupo mkeo anakusaidia kuwaangalia kama wamelishwa vizuri
 
Mkuu babamike,
Wazo la kuhitaji kufungua biashara ni zuri sana. Ulitaka kufanya diversifcation kuwa na vyanzo tofauti vya mapato? Au unataka kubadilisha biashara kabisa?
Ni diversification mkuu!, na hii nayo fanya siwezi acha course inanipa faida, Ila nataka niongeze chanzo kingine mkuu.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
labda ufungue day care& nursery au ufuge ng'ombe wa maziwa au ufuge nguruwe hapo nyumbani siku ambazo haupo mkeo anakusaidia kuwaangalia kama wamelishwa vizuri
Japo Mimi Iman yangu inaruhusu lkn Sehemu niliyopo siwezi kufuga nguruwe, wananzengo wanaweza kunifanya kitu mbaya sna

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom