Naomba undugu

Naomba undugu

afu wewe unataka kubugi kama umekapenda kadogo kangu ongea na mimi vizuri bmkubwa tunamlainisha tu.

Shemeeejii, ungejua nilivyoliita wala usikataa kwenda kumyeyusha maza aniruhusu niwe mmiliki rasmi.
 
Ma mkwe tena...we daughter mbona kama huyu mmemalizana kabisa..

shikamoo mama, mama kwa heshima yako naomba utoe tamko unimilikishe! una mtoto mwenye adabu sana, haongei hadi mama akubali!
 
Walaaa...nayajulia wapi mambo yenu wasichana hebu mmalizane wenyewe huko

haya mama pumzika nilitaka kukukosea kdogo lakn ni kutokana ulivotuweka jirani na wewe, nitakuja tuongee kitu.
 
cha kufanya hapa tumwite dogo aje aseme then tunaenda rasimi kwa maza, saiz mwache bmkubwa apumzike na anavokapenda haka katoto.

heb kaje bhas jamanii! mama tyri, kazi umepewa wewe shemu wng!
 
Back
Top Bottom