kabanga
Platinum Member
- Dec 12, 2011
- 37,575
- 18,949
huyu mtoto we mwache kwanza.
ah... vibaya hivyo, au ushampatia mtu....?
huyu mtoto we mwache kwanza.
Huyu mdogo wako mbona hajaniletea hayo maini au ndo kaenda kwa yule kijana?
nimekubaliana na wewe mdogo wangu nilikua namuenjoy tu.
Si ndo hao ndugu wa kike wanapewa sana kipaumbele kuliko wa kiume ndo mana nkasema utawachoka wanduguhahahaaaa haya lakini wanakaribishwa ndugu tu!
umeamkaje mdogo wangu?
ah... vibaya hivyo, au ushampatia mtu....?
basi huyo alikuwa ashajipa moyo kuwa umekubaliana nae anichukue
afadhali kaka umekuja, yaani ukimuona tu First Born anakuja mitaa ya home naomba umtoe ndukiiiiii
heeee dada huyu First Born simtaki amekaa kifataki fataki....hata simuwezi
Jamaaaani, me mchungaji ati? hutaki kuitwa mama pasta?
we kimbia kaka akikukamata..
Mtoto ashakuwa mkubwa jaman huyo! kuwa na shemeji nayo inaongeza heshima!
we usije ukasikiwa kaka kagoma kabis.
Ngoja nimuandalie uzi dogo! ataingia tu kama anajua kupendwa!
anhaaa yangu macho.
Hapa inavyoonesha we unanikubali we sema tatizo liko kwa mama na kaka, unawaogopa sana jamani!
ooh my sis jamani gud news...nafurahi umenitambulisha na shemeji pia, kuhusu mume ngoja nisubiri subiri kidogooo
Kuwa wazi usiogope kama mume nipo!
weee tena ukome we kijana mwache mdogo wangu asome.
mmmh jamani ! Mchuba hafukuzwi anasikilizwa, mwanamke ndoa. Utamu wa mume hausimuliki fungua njia mdogo wako afaidi