Naomba undugu

Naomba undugu

waooh me dada'ko na Mwanyasi shemeji yako. Unataka na mme pia?
kumbe ww ndio ulitaka kumharibia masomo dogo, kama wewe ulivyochukuliwa kienyeji eeh?
ooh my sis jamani gud news...nafurahi umenitambulisha na shemeji pia, kuhusu mume ngoja nisubiri subiri kidogooo

nashukuru umetambua umuhimu wa elimu kwanza, wanaume wapo tu utajapata wa kukufaa mbeleni.
 
Last edited by a moderator:
kumbe ww ndio ulitaka kumharibia masomo dogo, kama wewe ulivyochukuliwa kienyeji eeh?

nashukuru umetambua umuhimu wa elimu kwanza, wanaume wapo tu utajapata wa kukufaa mbeleni.

hahahaa kaka una mkwara.. Nampenda mdogo wangu nataka afurahie maisha kama mimi na shemeji yake shule ipo tu.
 
dogo me naenda job hela ya vitafunwa mwambie kaka, then uje kwa ofic uchukue hela umnunulie mama maini kabla hujaingia lecture.
 
dogo me naenda job hela ya vitafunwa mwambie kaka, then uje kwa ofic uchukue hela umnunulie mama maini kabla hujaingia lecture.

Huyu mdogo wako mbona hajaniletea hayo maini au ndo kaenda kwa yule kijana?
 
Back
Top Bottom