Naomba undugu

mmh wajameni humu ndani kuna watu wana waume zao, wake zao, watoto, wakwe, mawifi, mashemeji, kaka zao, dada zao, wapenzi, majirani, mama, baba, bibi, babu n.k.....

mie tu ndo sina ndugu au nimetokea sayari nyingine mweeeh

Mimi ni jinsia ya (me) kwa harakaharaka ungetaka niwe nani ako? Jichagulie
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom