Naomba undugu

Naomba undugu

Ximena

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2014
Posts
641
Reaction score
353
Mmh wajameni humu ndani kuna watu wana waume zao, wake zao, watoto, wakwe, mawifi, mashemeji, kaka zao, dada zao, wapenzi, majirani, mama, baba, bibi, babu n.k.....

mie tu ndo sina ndugu au nimetokea sayari nyingine mweeeh
 
mmh wajameni humu ndani kuna watu wana waume zao, wake zao, watoto, wakwe, mawifi, mashemeji, kaka zao, dada zao, wapenzi, majirani, mama, baba, bibi, babu n.k.....

hapo thaathaaa!!
 
we jinsia gan me nitakua ndugu yako.
 
mmh wajameni humu ndani kuna watu wana waume zao, wake zao, watoto, wakwe, mawifi, mashemeji, kaka zao, dada zao, wapenzi, majirani, mama, baba, bibi, babu n.k.....

mie tu ndo sina ndugu au nimetokea sayari nyingine mweeeh

Embu ingia chumbani straight nikufanyie kwanza ukaguzi!
cc: Asprin
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom