Naomba undugu

mmh wajameni humu ndani kuna watu wana waume zao, wake zao, watoto, wakwe, mawifi, mashemeji, kaka zao, dada zao, wapenzi, majirani, mama, baba, bibi, babu n.k.....

mie tu ndo sina ndugu au nimetokea sayari nyingine mweeeh

samahani aisee nimetokea kuchukia jina lako.
 
Back
Top Bottom