Naomba mkopo wa tsh 20,000

Naomba mkopo wa tsh 20,000

Kuna mtu wa kuitwa nyete alienda hadi muhimbili kupiga wagonjwa picha kua anaumwa. Baada ya hapo kilifuata kilio kikubwa kwa wanajF🤣🤣
nimecheka sana.

Kuna jamaa nae alianzisha group la tsapp kwa vijana wanao taka kujikwamua group la connections la wana JF.

Akawachangisha fedha kama emergency baada ya mda watu wanaona admin ka left group..😂😂

Akalala mbele na fedha za group 🙌🏾
 
Kwa kiasi cha TSh 20,000, ni rahisi na salama zaidi kukipata kwa watu wanaokujua kuliko kwa wageni mtandaoni:

1. Marafiki na Ndugu

Watumie ujumbe wa kawaida wa WhatsApp au piga simu. Ni kiasi kidogo ambacho mtu wa karibu anaweza kukukopesha au hata kukupa bure bila masharti magumu.

2. Vikundi vya VICOBA au Saccos

Kama una kikundi cha kijamii unachochangia, unaweza kupata mkopo wa dharura wa kiasi hiki haraka sana.

3. Tumia Mikopo ya Mitandao ya Simu (Mobile Money)

Kama una historia nzuri ya kutumia miamala ya simu, hii ndiyo njia ya haraka zaidi ya kupata TSh 20,000 ndani ya dakika tano bila kuomba mtu.

• M-Pawa / Songesha (Vodacom)

• Timiza Mikopo / Niwezeshe (Tigo)

• Halopesa (Halotel) / Airtel Timiza

Angalia riba zao, lakini kwa shida ya haraka na ya kiasi kidogo, huduma hizi husaidia sana kuliko kusubiri hisani ya mtu mtandaoni.

Kila la heri!
 
Ohooooo hizo njia zenu ni ngumu sana zinahitaji uwe umekunywa damu ya binadamu aliyekufa mwaka mmoja mbele ayaweze🥹🥹eishhhh hasa masharti ya shoga yako bichwa komwe yule mpumbavu sana mpaka Leo PM naichukia kuiangalia
😂😂😂 ko hutakii au?
 
Wanaume hapa huwezi kuwaona wakimsaidia mwanaume mwenzao, basi sio hela, hata njia ya kupata hiyo pesa hakuna.
Jichanganye!
Unaweza kufanya hivo kwa nia njema mwisho wa siku mnakuja na ID zenu zingine kujisifia mnapiga hela kwa wajinga wa JF.

Hiyo hela kwa sababu anataka mkopo sidhani kama hana pa kuipata na sio kwamba hajui namna ya kuipata. Kuna marafiki zake, Kuna anaokutana nao kwenye mitikasi yake, Kuna ndugu zake, Kuna anaosali nao etc.
 
Jichanganye!
Unaweza kufanya hivo kwa nia njema mwisho wa siku mnakuja na ID zenu zingine kujisifia mnapiga hela kwa wajinga wa JF.

Hiyo hela kwa sababu anataka mkopo sidhani kama hana pa kuipata na sio kwamba hajui namna ya kuipata. Kuna marafiki zake, Kuna anaokutana nao kwenye mitikasi yake, Kuna ndugu zake, Kuna anaosali nao etc.
Yeye ameona rahisi kupata ni JF. LOL
 
Back
Top Bottom