Naomba mkopo wa tsh 20,000

Naomba mkopo wa tsh 20,000

Huyu jamaa hayupo serious na mimi namchukulia kama anafanya aina ya utapeli laini kwa kutaka kuonewa huruma.
Jamaa nilimuunganisha na mtu ampe nafasi ya kibarua akadanganya mambo meengi mwisho akawa hapokei sim.
Kijana huyu kwa kutumia namba tofauti za simu nikiagiza watu wamtafute kwaajili ya kumpa kibarua lakini amekua akisema yupo sehem ama maeneo tofauti tofauti kwa wakati mmoja.
Kijana huyu anasisitiza kusaidia pesa tu, lakini hataki kabisa kufanya kazi.
Kwakifupi nilimfuatilia sana na marakadhaa nilimsaidia kiasi pasipo kumwambia lakini bado ameendelea na tabia yake ya kupenda kuomba na anasingizia ili aonewe huruma.
Huyu tapeli tu mkuu, achana nae
 
Nimekosea wapi hasa? Naomba mnifafanulie ili nijue makosa yangu na nijirekebishe. Kama nimewaudhi kwa namna yoyote, naomba radhi kwa dhati. Sina nia mbaya, napitia changamoto za maisha na naomba msaada wa mkopo wa 20,000 nitakaourejesha kama nitakavyokubaliana na atakayenisaidia. Naomba mnipe nafasi ya kujirekebisha. 🙏
 
Ukweli ni kwamba, kuna watu wanaona kama nasimulia au nasisingizia mambo mengi, lakini hakuna anayejua ninayopitia nyuma ya pazia. Si kila jambo ninalosema ni kutafuta huruma, wala si kila changamoto ni kisingizio.

Wakati mwingine mtu anapozungumza kuhusu hali yake, anahitaji tu kueleweka, si kuhukumiwa. Najua siwezi kumshawishi kila mtu aniamini, lakini muda na matendo yangu vitazungumza. Sina haja ya kujitetea kila siku, maana najua ukweli wa maisha yangu.
Kapime akili mkuu, kama sio utapeli ungekuwa husaidiwi kila siku usingekuwa unakuja humu kuomba.

Kuna watu wanamtumiaga hela huyu kwa huruma zao ndio mana anarud rudi kila siku
 
Back
Top Bottom