Naomba Mkopo wa kukopeshwa

Naomba Mkopo wa kukopeshwa

Nzona

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2022
Posts
4,067
Reaction score
6,307
Habari, mambo vipi mko poa nyie naombeni mnisamehe kwa kuwasubueni. Nimeamua kuwandikia kwa sababu sasa nimekwama kifedha na nina uhitaji wa dharura. Naomba kama utaweza kunikopesha shilingi 20,000 ili niweze kutatua changamoto niliyonayo kwa sasa. Najua kila mtu ana majukumu yake, hivyo nitaelewa kabisa kama hautaweza.

Nakuahidi kwamba nitakapokuwa sawa kifedha nitakurudishia fedha zako zote bila kukuchelewesha. Nitathamini sana msaada wako na moyo wako wa kunisitiri katika kipindi hiki kigumu. Asante sana kwa muda wako na kwa kunisikiliza. Mungu akubariki kwa wema wako. 🙏🙏

NB : au kama unaweza kunisaidia nisaidie tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom