Naomba mkopo wa tsh 20,000

Naomba mkopo wa tsh 20,000

Huyu jamaa hayupo serious na mimi namchukulia kama anafanya aina ya utapeli laini kwa kutaka kuonewa huruma.
Jamaa nilimuunganisha na mtu ampe nafasi ya kibarua akadanganya mambo meengi mwisho akawa hapokei sim.
Kijana huyu kwa kutumia namba tofauti za simu nikiagiza watu wamtafute kwaajili ya kumpa kibarua lakini amekua akisema yupo sehem ama maeneo tofauti tofauti kwa wakati mmoja.
Kijana huyu anasisitiza kusaidia pesa tu, lakini hataki kabisa kufanya kazi.
Kwakifupi nilimfuatilia sana na marakadhaa nilimsaidia kiasi pasipo kumwambia lakini bado ameendelea na tabia yake ya kupenda kuomba na anasingizia ili aonewe huruma.
Mkuu Mimi nipe kibarua, nimechoka kulima bustani kwenye nyumba ya cocastic
 
Ukweli ni kwamba, kuna watu wanaona kama nasimulia au nasisingizia mambo mengi, lakini hakuna anayejua ninayopitia nyuma ya pazia. Si kila jambo ninalosema ni kutafuta huruma, wala si kila changamoto ni kisingizio.

Wakati mwingine mtu anapozungumza kuhusu hali yake, anahitaji tu kueleweka, si kuhukumiwa. Najua siwezi kumshawishi kila mtu aniamini, lakini muda na matendo yangu vitazungumza. Sina haja ya kujitetea kila siku, maana najua ukweli wa maisha yangu.
Sorry Broh, naona watu wote humu wanakukalia kimya na wanakutusi na kukudhihaki, mie naweza kujitolea kukupa msaada je uko tayari kwa masharti yangu? Tena mie sikukopeshi, nakupa na cha zaidi juu.

Serious.
 
Najua nimeomba mara kadhaa na huenda wengine mkachoka kuona maombi yangu. Naomba radhi sana. Kwa sasa nimekwama kweli, mwenye uwezo wa kunisaidia hata 20,000/= naomba anisaidie. Nikipata nafasi, nitarejesha fadhila kwa namna nitakavyoweza. 🙏
 
Wanaume hapa huwezi kuwaona wakimsaidia mwanaume mwenzao, basi sio hela, hata njia ya kupata hiyo pesa hakuna.

Ila huyu akianza kutolinda mgongo wake ili apate hiyo pesa, wataanza kumuandama na kupiga makelele.

Wanaume acheni unafiki, msaidieni mwenzenu huyu.
Hajaomba kwetu wanaume pekee,pokea ombi pia.
 
Sorry Broh, naona watu wote humu wanakukalia kimya na wanakutusi na kukudhihaki, mie naweza kujitolea kukupa msaada je uko tayari kwa masharti yangu? Tena mie sikukopeshi, nakupa na cha zaidi juu.

Serious.
Asante sana broh, nimekupata. Niko tayari kusikiliza masharti yako kwa heshima. Kama kweli uko serious, niambie tuone namna ya kuendelea. Mungu akubariki kwa moyo wako wa kusaidia. 🙏
 
Ukweli ni kwamba, kuna watu wanaona kama nasimulia au nasisingizia mambo mengi, lakini hakuna anayejua ninayopitia nyuma ya pazia. Si kila jambo ninalosema ni kutafuta huruma, wala si kila changamoto ni kisingizio.

Wakati mwingine mtu anapozungumza kuhusu hali yake, anahitaji tu kueleweka, si kuhukumiwa. Najua siwezi kumshawishi kila mtu aniamini, lakini muda na matendo yangu vitazungumza. Sina haja ya kujitetea kila siku, maana najua ukweli wa maisha yangu.
Tatizo huweki wazi tukusaidiaje sasa ?

juzi nlikuulza unashida gani zungumza tujue tukupe solution gani ? Ukapotea.

Zungumza kama ni kazi tujue tunakusaidiaje mzee mbona unakuwa mzito !!
 
Back
Top Bottom