Naomba mkopo wa tsh 20,000

Naomba mkopo wa tsh 20,000

From no where, hatujuani.... tunatumia majina fake (anonymity) , nikupe mkopo tukubaliane urejeshe ? Hivi tunajizima akili kiasi hicho ? aisee

Subiri utumiwe, na atakayekutumia just amekupa tu hapa hakuna makubaliano yoyote yale ya kurejesha
Broh kitalembwa fanya kuniazima afu tano nikale šŸ˜†
 
Ndugu zangu, naomba radhi kama nimewakera kwa maombi yangu ya mara kwa mara. Ukweli ni kwamba napitia kipindi kigumu na nimeamua kuomba msaada kwa unyenyekevu. Sikuwa na nia ya kumkwaza au kumkera mtu yeyote. Kwa mwenye uwezo wa kunisaidia hata hiyo 20,000, nitashukuru sana na nitajitahidi kurejesha fadhila nitakapoweza. Naomba mnivumilie, na kama kuna nilipokosea, nisameheni. Mungu awabariki wote. šŸ™
Mbona kuna watu wanasema wakitaka kukupa kazi hutaki? Una utetezi gani kuhusu hilo?
 
Wanaume hapa huwezi kuwaona wakimsaidia mwanaume mwenzao, basi sio hela, hata njia ya kupata hiyo pesa hakuna.

Ila huyu akianza kutolinda mgongo wake ili apate hiyo pesa, wataanza kumuandama na kupiga makelele.

Wanaume acheni unafiki, msaidieni mwenzenu huyu.
Huruma sio malezi msaada sio haki ya yeyote yule. Kukosa kusaidika sio tiketi ya kutoa ulinzi wa mgongo. Nisiandike sana he bera watch his back
 
Wanaume hapa huwezi kuwaona wakimsaidia mwanaume mwenzao, basi sio hela, hata njia ya kupata hiyo pesa hakuna.

Ila huyu akianza kutolinda mgongo wake ili apate hiyo pesa, wataanza kumuandama na kupiga makelele.

Wanaume acheni unafiki, msaidieni mwenzenu huyu.
Mkuu taasisi za mikopo zipo Kila Kona.
 
Back
Top Bottom