cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 121,548
- 199,904
Wachaa wee!!Akaze auze simu apate mtaji wa birika la kahawa na visheti azungushe stendi. Asilikimbie jembe

Msaidieni sasa huko taasisi za mikopo apate.Mkuu taasisi za mikopo zipo Kila Kona.
Dunia imegeuka hii. Wakukupa burebure tu Sidhani.
Nipe hiyo kazi Mkuu.Huyu jamaa hayupo serious na mimi namchukulia kama anafanya aina ya utapeli laini kwa kutaka kuonewa huruma.
Jamaa nilimuunganisha na mtu ampe nafasi ya kibarua akadanganya mambo meengi mwisho akawa hapokei sim.
Kijana huyu kwa kutumia namba tofauti za simu nikiagiza watu wamtafute kwaajili ya kumpa kibarua lakini amekua akisema yupo sehem ama maeneo tofauti tofauti kwa wakati mmoja.
Kijana huyu anasisitiza kusaidia pesa tu, lakini hataki kabisa kufanya kazi.
Kwakifupi nilimfuatilia sana na marakadhaa nilimsaidia kiasi pasipo kumwambia lakini bado ameendelea na tabia yake ya kupenda kuomba na anasingizia ili aonewe huruma.
Muha kasema nilipe kwanza ndio napewa mkweBill inasoma ngapi huko
Ndio nmeuliza billMuha kasema nilipe kwanza ndio napewa mkwe
Au mpe wewe hiyo twentyWachaa wee!!
Bill mfuko wanguNdio nmeuliza bill
Kaka nipe mimi kaziHuyu jamaa hayupo serious na mimi namchukulia kama anafanya aina ya utapeli laini kwa kutaka kuonewa huruma.