Ponjoro namba moja
Member
- Jun 5, 2025
- 45
- 95
Angekuwa na location, ningempelekea mkono kwa mkono. Kutuma kwa Mpesa una reveal identity yako.Wanaume hapa huwezi kuwaona wakimsaidia mwanaume mwenzao, basi sio hela, hata njia ya kupata hiyo pesa hakuna.
Ila huyu akianza kutolinda mgongo wake ili apate hiyo pesa, wataanza kumuandama na kupiga makelele.
Wanaume acheni unafiki, msaidieni mwenzenu huyu.