Naomba mkopo wa tsh 20,000

Naomba mkopo wa tsh 20,000

Kama kujieleza na kuomba msaada kunamaanisha najidhalilisha, basi naomba nieleweke kuwa nimefika hapa kutokana na changamoto ninazopitia. Sina nia ya kumlazimisha mtu yeyote kunisaidia. Mwenye uwezo anisaidie kwa moyo wa utu, na asiyeweza naomba asinihukumu wala kunidhihaki. Kila mmoja ana wakati wake mgumu katika maisha.
 
Anaomba hela siku za game fatilia utaniambia
😂😂😂 Shenzie huyu kumbe ni makamaria ,akili za wakamaria najizua vizuri nadhani sasa yupo kwenye phase ya kuwa addicted kbs ,dawa ni kumnyima bahati yake mods hawawezi kufungia account yake
 
Hata Ushimen kasema alimtafutia kazi akapiga chenga. Yeye ni pesa tu ndio anataka.
Huyu jamaa ni tapeli tu mkuu....
Sie wengine sio wepesi wa kutamka haya, lakini ukiona imefikia hivi basi ujue tumechoka kuvumilia vijana wenye ndimi mbili.
Ukiangalia kuna uzi wake alisema baba yake anaumwa sana na yeye ndie anamsaidia.
Badae akasema anapitia magumu nyumbani kwa wazazi wake.
Next picha akasema yupo Karatu kisha baada ya dakika 20 akasema yupo wapiwapi sijui hukoooo....
 
NAOMBA MKOPO WA TSH 20,000 🙏

Habari zenu wanajamii. Naomba msaada wa mkopo wa TSh 20,000 kwa yeyote ambaye atakuwa na uwezo wa kunikopesha. Nina uhitaji wa haraka na nitajitahidi kurejesha ndani ya muda tutakaokubaliana.

Sio ombi la kuomba msaada wa bure, bali ni mkopo. Nitashukuru sana kwa yeyote atakayeguswa na kunisaidia katika kipindi hiki. Mwenyezi Mungu ambariki kila atakayejitokeza. 🙏
Una dhamna yoyote? Au dhamana ni mali kauli?
 
Huyu jamaa ni tapeli tu mkuu....
Sie wengine sio wepesi wa kutamka haya, lakini ukiona imefikia hivi basi ujue tumechoka kuvumilia vijana wenye ndimi mbili.
Ukiangalia kuna uzi wake alisema baba yake anaumwa sana na yeye ndie anamsaidia.
Badae akasema anapitia magumu nyumbani kwa wazazi wake.
Next picha akasema yupo Karatu kisha baada ya dakika 20 akasema yupo wapiwapi sijui hukoooo....
Nyete season 2
 
Wanaume hapa huwezi kuwaona wakimsaidia mwanaume mwenzao, basi sio hela, hata njia ya kupata hiyo pesa hakuna.

Ila huyu akianza kutolinda mgongo wake ili apate hiyo pesa, wataanza kumuandama na kupiga makelele.

Wanaume acheni unafiki, msaidieni mwenzenu huyu.
Hahaha! Kila siku anamba 20 atakuwa ana beti sio bure
 
Naomba nieleweke, sijafungua akaunti hii kwa nia ya kumdanganya mtu yeyote. Nimekuwa JF tangu mwaka 2008, lakini kwa sasa natumia ID hii mpya. Kuhusu ID za zamani zinazotajwa, siwezi kuwajibika kwa akaunti ambazo si zangu. Niko hapa kama mwanadamu ninayepitia changamoto za maisha. Kama nimekosea, niko tayari kurekebisha, lakini naomba nisiitwe tapeli bila ushahidi wala kudhalilishwa. Mwenye uwezo wa kunisaidia anisaidie kwa moyo wa utu; asiyeweza, naomba tuheshimiane.
 
Huyu jamaa hayupo serious na mimi namchukulia kama anafanya aina ya utapeli laini kwa kutaka kuonewa huruma.
Jamaa nilimuunganisha na mtu ampe nafasi ya kibarua akadanganya mambo meengi mwisho akawa hapokei sim.
Kijana huyu kwa kutumia namba tofauti za simu nikiagiza watu wamtafute kwaajili ya kumpa kibarua lakini amekua akisema yupo sehem ama maeneo tofauti tofauti kwa wakati mmoja.
Kijana huyu anasisitiza kusaidia pesa tu, lakini hataki kabisa kufanya kazi.
Kwakifupi nilimfuatilia sana na marakadhaa nilimsaidia kiasi pasipo kumwambia lakini bado ameendelea na tabia yake ya kupenda kuomba na anasingizia ili aonewe huruma.
Nisaidie mimi boss
 
Ombaomba mbona mkali sana wewe kama upo jf tangu 2008(jf enzi hizo hakukua na fala ) huwezi kulia njaa
 
Huyu jamaa hayupo serious na mimi namchukulia kama anafanya aina ya utapeli laini kwa kutaka kuonewa huruma.
Jamaa nilimuunganisha na mtu ampe nafasi ya kibarua akadanganya mambo meengi mwisho akawa hapokei sim.
Kijana huyu kwa kutumia namba tofauti za simu nikiagiza watu wamtafute kwaajili ya kumpa kibarua lakini amekua akisema yupo sehem ama maeneo tofauti tofauti kwa wakati mmoja.
Kijana huyu anasisitiza kusaidia pesa tu, lakini hataki kabisa kufanya kazi.
Kwakifupi nilimfuatilia sana na marakadhaa nilimsaidia kiasi pasipo kumwambia lakini bado ameendelea na tabia yake ya kupenda kuomba na anasingizia ili aonewe huruma.
Mimi ninashindwa kukupinga kwakua ulimpa options tukishuhudia.

Maajabu yake amezidi kuandika hivi.

Moderators angalieni hili swala Jamii Opportunities
 
Huyu jamaa hayupo serious na mimi namchukulia kama anafanya aina ya utapeli laini kwa kutaka kuonewa huruma.
Jamaa nilimuunganisha na mtu ampe nafasi ya kibarua akadanganya mambo meengi mwisho akawa hapokei sim.
Kijana huyu kwa kutumia namba tofauti za simu nikiagiza watu wamtafute kwaajili ya kumpa kibarua lakini amekua akisema yupo sehem ama maeneo tofauti tofauti kwa wakati mmoja.
Kijana huyu anasisitiza kusaidia pesa tu, lakini hataki kabisa kufanya kazi.
Kwakifupi nilimfuatilia sana na marakadhaa nilimsaidia kiasi pasipo kumwambia lakini bado ameendelea na tabia yake ya kupenda kuomba na anasingizia ili aonewe huruma.
Basi kwa pamoja wanajukwaa tuseme MATAKO YAKE
 
Nina changamoto zangu kama binadamu mwingine yeyote, lakini kinachoumiza zaidi ni pale unapokutana na dharau na maneno makali kutoka kwa watu. Hata hivyo, sina kinyongo na mtu yeyote. Maisha yana nyakati ngumu na nyakati nzuri. Leo inaweza kuwa zamu yangu kupitia magumu, kesho inaweza kuwa ya mwingine. Sihitaji huruma ya kulazimisha, bali utu na heshima. Mwenye uwezo wa kusaidia, asaidie kwa moyo, na asiyeweza, Mungu ambariki. Mwisho wa siku, yote ni maisha tu.
 
Nipe code mkuu
Unaweza kulala chumba kimoja na mama-mkwe?!
1000175030.webp

Hizo code ni petrol ndani ya geto la mvutaji!

Una Kifua?
 
Back
Top Bottom