Naomba mkopo wa tsh 20,000

Naomba mkopo wa tsh 20,000

Ndugu zangu, naomba radhi kama nimewakera kwa maombi yangu ya mara kwa mara. Ukweli ni kwamba napitia kipindi kigumu na nimeamua kuomba msaada kwa unyenyekevu. Sikuwa na nia ya kumkwaza au kumkera mtu yeyote. Kwa mwenye uwezo wa kunisaidia hata hiyo 20,000, nitashukuru sana na nitajitahidi kurejesha fadhila nitakapoweza. Naomba mnivumilie, na kama kuna nilipokosea, nisameheni. Mungu awabariki wote. 🙏
 
Wanaume hapa huwezi kuwaona wakimsaidia mwanaume mwenzao, basi sio hela, hata njia ya kupata hiyo pesa hakuna.

Ila huyu akianza kutolinda mgongo wake ili apate hiyo pesa, wataanza kumuandama na kupiga makelele.

Wanaume acheni unafiki, msaidieni mwenzenu huyu.
Leo hii imethibitisha wewe ni sister duu kabisa.
aksante eh asante sana
 
Ndugu zangu, naomba radhi kama nimewakera kwa maombi yangu ya mara kwa mara. Ukweli ni kwamba napitia kipindi kigumu na nimeamua kuomba msaada kwa unyenyekevu. Sikuwa na nia ya kumkwaza au kumkera mtu yeyote. Kwa mwenye uwezo wa kunisaidia hata hiyo 20,000, nitashukuru sana na nitajitahidi kurejesha fadhila nitakapoweza. Naomba mnivumilie, na kama kuna nilipokosea, nisameheni. Mungu awabariki wote. 🙏
 
Ndugu zangu, naomba radhi kama nimewakera kwa maombi yangu ya mara kwa mara. Ukweli ni kwamba napitia kipindi kigumu na nimeamua kuomba msaada kwa unyenyekevu. Sikuwa na nia ya kumkwaza au kumkera mtu yeyote. Kwa mwenye uwezo wa kunisaidia hata hiyo 20,000, nitashukuru sana na nitajitahidi kurejesha fadhila nitakapoweza. Naomba mnivumilie, na kama kuna nilipokosea, nisameheni. Mungu awabariki wote. 🙏
Braza acha kutudekea basi
 
Kwa kweli napitia changamoto nyingi nyumbani kwa wazazi wangu, ndiyo maana nimeamua kuomba msaada kwa unyenyekevu. Si jambo rahisi kwangu kuweka shida zangu hadharani, lakini hali imenilazimu. Naomba mniwie radhi kama maombi yangu yamewakera. Sina nia mbaya kwa mtu yeyote, na kwa atakayeguswa kunisaidia, nitashukuru sana. Naomba Mungu anivushe katika kipindi hiki kigumu. 🙏
 
Wewe kijana, watu wamesema shida nini? Na km hutaki kuweka matatizo yako wazi, basi useme wakutafutie kazi ili ujipatie pesa yako mwenyewe. Hebu toa ushirikiano kwenye hili.

Hakuna cha buree ujue? Au unataka mgongo ukunjwe?? Eeeh?
 
sheremaya si umsaidie huyu SCAMMER 20K ama umebakiza hela ya kusukia mkeka tu kama mimi!?
1000179743.jpg
 
Kwa kweli napitia changamoto nyingi nyumbani kwa wazazi wangu, ndiyo maana nimeamua kuomba msaada kwa unyenyekevu. Si jambo rahisi kwangu kuweka shida zangu hadharani, lakini hali imenilazimu. Naomba mniwie radhi kama maombi yangu yamewakera. Sina nia mbaya kwa mtu yeyote, na kwa atakayeguswa kunisaidia, nitashukuru sana. Naomba Mungu anivushe katika kipindi hiki kigumu. 🙏
Changamoto hutaki kazi, wewe sema unauza kitobo bei gani
 
Back
Top Bottom