😹😹😹Jirani usifanye hivyo,
yule hatakiwi kabisa kurudi,atafute tu kazi nyingine huko kwao Nzega vijijini.
Umejuaje kama mi ndo naita watu majina hayo? 😹😹Tabia mbaya sana kuita watu majina kama hayo.
Naona picha ta Kanye west akiwa mdogo so inaashiria ww ni yule kaye west tz ak tahira gunnerUnanifahamu? Na Umejuaje mimi ni dogo
Mmh?
Nini unipe?
Umejiona hapo? 😹Hakika zama zimebadilika. Siku hizi vijana wa miaka ya 30 nao bado wanaishi nyumbani, bado wanategemea wazazi wao.
Nilivyo kuwa in my early 20s nilidhani by the end of my 20s Nitakuwa na familia yangu na watoto wawili.
Ila sasa ndo akili zinanijia kuwa it was just a dream, mifumo imebana sana na kutufanya iwe ngumu sana kwa kijana mwenye umri huo, ambaye kwa miaka 20 nyuma tayari angelikuwa na mianya yake mingi ya hela. Nakumbuka kabla hata mzee wangu hajaoa in his mid 20s tayari alikuwa anamiliki Suzuki.
Tayari alikuwa na mshamba, alikuwa na uwezo wa ulisha familia na ndugu pande zote. Yaani najiuliza, why bado tunaishi na mentality za kudhani kuwa ajira inaleta stability wakati hata wages unayo lipwa haiwezi kukufanya uwe stable.
Ndoa hazidumu pia kwasababu hiyo hiyo, ni stress juu ya stress tu. Yaani mtu unalipwa 2m ila bado Ukisema ujenge financial stability inakuwa ngumu maana running cost nazo zinakuitaji, ukinunua kiwanja kuja ukajenge nako mtihani, ukipanga unaishia kuendelea kupanga tu na wazo la kujenga hata haliji maana kila Mshahara unakuta umekaa kila angle.
Sasa hata mkianza kuwa laumu vijana kushindwa kujitegemea mnakuwa mnakosea Hakika maana zama nazo zimebadilika.
Umekubali sasa 😹😹😹Njoo kwa pm yangu tafadhali
Kumbe?Mleta mada ndio yule KIJANA,
Uandishi ni ule ule kabisa,
Hakika zama zimebadilika. Siku hizi vijana wa miaka ya 30 nao bado wanaishi nyumbani, bado wanategemea wazazi wao.
Nilivyo kuwa in my early 20s nilidhani by the end of my 20s Nitakuwa na familia yangu na watoto wawili.
Ila sasa ndo akili zinanijia kuwa it was just a dream, mifumo imebana sana na kutufanya iwe ngumu sana kwa kijana mwenye umri huo, ambaye kwa miaka 20 nyuma tayari angelikuwa na mianya yake mingi ya hela. Nakumbuka kabla hata mzee wangu hajaoa in his mid 20s tayari alikuwa anamiliki Suzuki.
Tayari alikuwa na mshamba, alikuwa na uwezo wa ulisha familia na ndugu pande...
- SanArt
- bila imekuwa kitu miaka miaka 30 mke naomba sana
- Replies: 74
- Forum: Mahusiano, mapenzi, urafiki
Halafu kuita watu PM ni style yako pendwa kwenye ID's zako zote,Njoo kwa pm yangu tafadhali
🤣🤣🤣Hivi ni kwanini huyu kijana mnamwandama sana mbona wajeuri tupo wengi tu😅Chuo una report lini!?
Sasa wewe tunaweza kukuandama kumbe una bia kama 10 kichwani,hayo maumivu ya kuandamwa utayapataje sasa?🤣🤣🤣Hivi ni kwanini huyu kijana mnamwandama sana mbona wajeuri tupo wengi tu😅
🤣😅😅😅 na nikweli mtakua mnapoteza mda wenu na energy bure tu😅Sasa wewe tunaweza kukuandama kumbe una bia kama 10 kichwani,hayo maumivu ya kuandamwa utayapataje sasa?
Nahisi ana bahati mbaya na huu mtandao 😂😂🤣🤣🤣Hivi ni kwanini huyu kijana mnamwandama sana mbona wajeuri tupo wengi tu😅
Mkuu unajua hapa JF ukijifanya mjuaji sana,haya ndio hua matokeo yake,Nahisi ana bahati mbaya na huu mtandao 😂😂
make kuna makundi matatu yanayopelekewa moto bahati mbaya kundi lake yupo pekeyake😂