Naomba kukaribishwa rasmi

Naomba kukaribishwa rasmi

Bora umemuuliza mana amenishangaza.

Kumfuata hiyo PM vipi tena mgeni mzima.
Mgeni kwanza hata neno PM haujui maana yake .

Mimi ilinichukua miaka kadhaa kuijua PM Jf , tena baada ya watu kunitafuta huko nikawa nashangaa nipo wapi hapo ndipo nikaanza kuzoea PM.

Huyu jamaa mwepesi sana hawezi kujishikilia, mapema kashaacha ndala amekubali kuwa yeye ndio Chiwawa na kashafahamika kupitia VAR na mitego midogo tu šŸ˜‚
 
Back
Top Bottom