Naomba kukaribishwa rasmi

Naomba kukaribishwa rasmi

Mkuu unajua hapa JF ukijifanya mjuaji sana,haya ndio hua matokeo yake,
Kijana hua anaamini kua yeye ni bora kuliko mtu yeyote yule hapa JF
Na anachokipata sasa ndio itakua tiba ya huo ugonjwa wake.
Ndio maana huwa , NB .naweka nipo bia ya 10 😅 ila mazumbukuku yanajileta tu, nagusa ignore tu , nasonga mbele😅
 
Back
Top Bottom