The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,085
- 121,447
Baaaas! umejiweka wazi wewe mwenyewe.Hakuna originality
Kwani Ban yako itaisha lini?
Baaaas! umejiweka wazi wewe mwenyewe.Hakuna originality
OK karibuHilo sio jina halisi
Ila jamaa arudishwe tu, ni kama jf inaboa asipo kuwepo 🤣Baaaas! umejiweka wazi wewe mwenyewe.
Kwani Ban yako itaisha lini?
Yule Ban peke yake haimtoshi,Ila jamaa arudishwe tu, ni kama jf inaboa asipo kuwepo 🤣
Chiwawa ni mbwa mdogo wa mapambo ya nyumbani asili yake ni Mexico 🇲🇽 na wanaitwa chiuha huha kwa kispainChiwawa ni nini?
Chiwawa 😅😅😅😅🙃Nikikwambia huyu Chiwawa we niamini..!! 😹
Halafu naona kajisahau,Nikikwambia huyu Chiwawa we niamini..!! 😹
Nikuombee kwa mods wakutolee ban? 😹Chiwawa ni nini?
Hahaha sema ana be provoked na kutoka nnje ya mstari na watu wamemjulia kwa hili ,hivyo hata kama yupo kawaida tu anatoka kirahisi mno , sijui saikolojia yake ina shida gani🤣Yule Ban peke yake haimtoshi,
Anatakiwa anyang'anywe na simu pia kwa manufaa ya JF.
Jirani usifanye hivyo,Nikuombee kwa mods wakutolee ban? 😹
Halafu kumbe wewe uliwatukana mods, nimeoongea na mmoja kuna maelekezo nikupe ili upewe msamaha..!!
Uko tayari?
Watu sio wabaya mbaya ni wewe unatafsiri vip vile watu wanakuona , kwani wewe unajiona ni chiwawa?Aisee ndo Inahusianaje na mimi? Mbona watu wanakuwa wabaya kiasi hiki?
Mi namchora tu 😹Halafu naona kajisahau,
Anafuatilia zaidi comments kwa ile ID yake nyingine kuliko kwa hii aliyofungulia uzi.