karibu ila kaa mbali na hawa Tlaatlaah na Lucas MwashambwaNafurahi sana kuwa mwana jumuiya ya jamiiforums..
Ninapenda sana mada nzuri na ni dhahiri nitakuwa mshirika mwema.
Nita furahi kuchangamana na watu tofauti ambao tutabadilishana mawazo na ujuzi.
Asanteni
ok.karibu ila kaa mbali na hawa Tlaatlaah na Lucas Mwashambwa

Спасибо ПажлистаNafurahi sana kuwa mwana jumuiya ya jamiiforums..
Ninapenda sana mada nzuri na ni dhahiri nitakuwa mshirika mwema.
Nita furahi kuchangamana na watu tofauti ambao tutabadilishana mawazo na ujuzi.
Asanteni