Walikua wana taja majina gani?Kwenye page ya jf kupitia Facebook, walikuwa wanawake report mabandiko ya member ila hawakutajwa majina halisi
Nipe laki nikufanyie mpango uwe maarufu sana humu.Ni mwanaume.
huyu jamaa tangu aliache cleverking ameacha league 🙃🙃🙃The Icebreaker V.A.R 🙃
Kwa nini wewe unahisi sio jina lake halisi, ipi sababu inayokufanya uone sio halisi?Majina yasiyo na chimbuko yaani mfano mtu anaitwa fetty momo sasa unakaa kujiuliza huyu ni jina lake kweli?
Umejuaje?Hakuna originality
Word 😅😅😅😅huyu jamaa tangu aliache cleverking ameacha league 🙃🙃🙃
Lamomy V.A.R 😅😅😅Bila kupepesa macho wala kukosea huyo ni ndugu Chiwawa..!!
Mi namjua kama nimemzaa, soon ataanza yale mambo yake..!!