Mr Ha
Senior Member
- Jun 19, 2021
- 179
- 495
Habari wana jukwaa!
Naomba kwenda kwenye lengo kuu. Rafiki yangu wa karibu kanishirikisha hili jambo lake, yeye ni mwajiriwa sekta binafsi zaidi ya miaka 6 sasa na elimu yake ni Diploma, amejikuta akitafakari kufanya chaguo kati ya kazi yake ama arudi aongeze elimu.
Ana mke na watoto,
Na kama akijiendeleza atakuwa nje ya mfumo wa ajira.
Karibuni wanajukwaa kwa ushauri wa manufaa yake na wengine.
Asanteni!