Hv ilikuwaje mpaka waja wakaanza kukuita chiwawa?Habari wanajukwaa wa jamiiforums
Mimi nni mgeni na ninafuraha kujumuika nanyi.
Ni matumaini yangu tutabadilishana mawazo, uzoefu na ujuzi
Asanteni
Daah jf ni ngumu sana 😅Hv ilikuwaje mpaka waja wakaanza kukuita chiwawa?
Ugumu wanaleta wao tuuDaah jf ni ngumu sana 😅
Karibu chiwawaHabari wanajukwaa wa jamiiforums
Mimi nni mgeni na ninafuraha kujumuika nanyi.
Ni matumaini yangu tutabadilishana mawazo, uzoefu na ujuzi
Asanteni
Inasikitisha sana mkuu 😂Aisee🤣🤣🤣 eti chiwawa!
YAH ndo majina ya member wapyaKwanini unaniita chiwawa? Ndo majina ya wageni humu?
Lina maana ya karibu mgeniAisee mbona limekaa kama neno baya sana? Lina maana gani?