Walikua 6 na watatu walihukumiwa tayari wakabaki hawa watatuKwa Mujibu wa Taarifu Tulizopata ni kwamba waliokua wametuhumiwa na Mheshimiwa Mbowe katika kesi ya Ugaidi walishahukumiwa na wameanza kutumikia kifungo?
Iweje leo wamerudishwa mahakamani? Au walikata rufaa?
Kwa Mujibu wa Taarifu Tulizopata ni kwamba waliokua wametuhumiwa na Mheshimiwa Mbowe katika kesi ya Ugaidi walishahukumiwa na wameanza kutumikia kifungo?
Iweje leo wamerudishwa mahakamani? Au walikata rufaa?
Source: Samia Suluhu kwenye mahojiano na BBC Swahili - Dira ya Dunia.Chanzo cha taarifa hiyo ni kipi ndugu!?
Chai imezidi majani hii.Walikua 6 na watatu walihukumiwa tayari wakabaki hawa watatu