• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

smartphones

 1. miss zomboko

  Utumiaji wa simujanja (smartphones) unakadiriwa kuongezeka nchini Tanzania ifikapo 2024

  Utumiaji wa simujanja (smartphones) unakadiriwa kuongezeka nchini Tanzania ifikapo 2024 kufuatia kuongezeka kwa matumizi ya intaneti katika kiwango cha (3G) na kukuzwa kwa mtandao wa 4G na wamiliki wa mitandao ya simu Usajili wa simujanja utakua kwa haraka kila mwaka katika kiwango (CAGR) cha...
 2. FRANC THE GREAT

  Samsung yaongoza katika soko la 'Smartphones' za 5G

  Kampuni ya vifaa vya kielektroniki ya Samsung imekuwa kinara katika soko jipya la 'Smartphones' zenye uwezo wa 5G ikiweza kuzalisha simu za 5G takribani robo tatu ya uzalishaji wote ulimwenguni katika kipindi cha robo ya tatu (Third Quarter) kwa mujibu wa utafiti kutoka IHS Markit | Technology...
 3. Hashpower7113

  Vifupisho vinavyotumika sana kwenye mitandao ya kijamii

  Ni ukweli usiopingika kwamba maendeleo ya sayansi na teknolojia, yamefanya matumizi ya intaneti kuongezeka sana. Matumizi ya intaneti nayo yamekuja na mambo mapya, katika ulimwengu wa sasa, mawasiliano kupitia mitandao ya kijamii, kama Facebook, Instagram, Whats App na kwingineko ni kitu cha...
 4. E

  Msaada betri ya simu, aina: Freetel Priori 4

  Msaada.. Natafuta betri ya simu, aina ya simu: Freetel Priori 4
Top