Ushuru wa kuingiza bidhaa nchini Rwanda ukoje ni asilimia ngapi?

Mavindozii

JF-Expert Member
Oct 20, 2012
2,111
2,759
Hello Wana Great Thinker,

Leo nimemsikia Mheshimiwa Paulo Kagame akisema ameondoa visa kwa waafrika wote, kuna swali naulizia, vipi kuhusu ushuru wa kuingiza bidhaa nchini Rwanda ukoje ni asilimia ngapi?

Swali la mwisho kama kuna mtu anayejua ushuru wa hizi Hose za Benzi tractor, kama kuna mtu yuko Rwanda naomba tuwasiliane please.
 
Hujafafanua vizuri, unataka kupeleka au kwenda kuchukua.

Kwa maandishi hayo machache waweza kueleweka mkuu wangu?
Napenda nihamie Rwanda mkuu , kama hawana mbambamba mkuu . Nikinunua Hose Benz kutoka Ulaya nilisajilie huko huko kama ushuru wake uko rafiki mkuu
 
Napenda nihamie Rwanda mkuu , kama hawana mbambamba mkuu . Nikinunua Hose Benz kutoka Ulaya nilisajilie huko huko kama ushuru wake uko rafiki mkuu
Ukihamia Rwanda kuna biashara zitakubeba kama hizi;
1. Vyakula hasa mchele wetu wanaupenda sana.

2. Store ya nguo ( duka la jimla)
Mabinti wa Rwanda wanapenda kujipamba sana kwani wanapenda kula bata sana.

Kwa hizi biashara 2 ni uhakika, najua ninachokisema
 
Kumbuka,kuondoa visa,hakuzuii kulipa ushuru kama unafanya biashara. Na kama hutolipia visa,basi utalipia huduma utakazopata ukifika.

Kuhusu ushuru, ni 18%. Hii ni karibia 36% Tshs.
Hose Benz tractor sijui unamaanisha nini. Kama ni mashine za viwandani au za kilimo,ushuru ni 0%. Lakini, hata ikae miaka 100,ukiamua kuuza,baada ya huo mda ushuru ule wa wakati wa kuimport,utaulipia
 
Ushuru wa kichwa cha Benzi kwa Tanzania, kama hizi za TBL
Screenshot_2023-11-03-15-10-28-098_com.android.chrome.jpg
Screenshot_2023-11-03-15-09-57-872_com.android.chrome.jpg
 
Back
Top Bottom