Naomba kujua utaratibu wa kuimport bidhaa kutoka nje?

Msonjo

JF-Expert Member
Oct 13, 2019
1,308
2,224
Habari wadau

Kutokana msimu huu wa mfungo wa ramadhani, kuna Ndugu yangu anataka anitumie kama tani 20( kontena) za tende kutoka Saudi Arabia ili nifanye biashara.
Sasa nataka kujua ni documents zipi za muhimu ninazihitaji au taratibu za kufuata ili niweze kuupokea mzigo huo.

Natanguliza shukrani
 
Document unazotakiwa kuwa nazo ni Kitambulisho Chako chenye jina linalofanana na Document atakazokutumia, TIN number na pesa za kutolea mzigo bandarini kwa malipo ya Port charge, wharfage, shipping line, Agent fee n.k

Document atakazotakiwa kukutumia ndugu yako ni Bill of Lading, Invoice na Paking list hizo document atazipata baada ya kukamilisha kutuma mzigo kule Saud Arabia.

Utaratibu ni kwamba, wewe utamtumia jina lako kama linavyoonekana kwenye vitambulisho vyako, utamtumia address yako, namba ya sim na utamwambia utatumia bandari ipi kupokea container, huyo ndugu yako atakamilisha kutuma mzigo kwa hizo taarifa ulizomtumia kisha atapewa document ambazo atakutumia wewe kwa njia ya DHL, ukishapokea document utasubiri tarehe ya meli kufika ili uendelee na taratibu za clearance bandarini kwa container lako.
Ila ukishapokea document tafuta Clearance Agent muaminifu mapema ili aweze kuwa anakupa taarifa za tarehe ya meli ya container lako kufika.
NB:
Pia ni vyema ukaenda TRA upande wa Customs ili kujua Kodi utatakiwa kulipa kiasi gani ili kujiandaa kifedha sababu Kuna watu wameacha mizigo yao bandarini baada ya kukosa ela kulipia gharama za container bandarini.
Ila ukihitaji taarifa zaidi kuhusu hayo mambo yote nitafute ili niweze kukupa mtu muaminifu Clearing and Forwarding Agent aweze kufanya kazi yako vizuri.
 
Kama alivyokuelezea mdau toka hapo Juu. Pia itabidi upate kibali toka TFDA/TBS kama Tende zinafaa kwa matumizi ya Binadamu... ni Vyema ukawaona kabla ya hizo tende azijatumwa hapa Nchini
 
Ahsante sana
 
Hii TIN number uliyokusudia hapa ni TIN ya biashara?
 
Asante kwa majibu yanayonufaisha wengi
 
Ufafanuzi mzuri sana.
Hongera mkuu nimejifunza kitu.
 
Kwa kuwa ni bidhaa chakula watu wa TBS /TMDA wanahusika sana ukiacha mambo mengine ya kikodi.
Hao ndio ungewaona wa kwanza ili upate taratibu nzima za kuingiza bidhaa vyakula.
 
Kama alivyokuelezea mdau toka hapo Juu. Pia itabidi upate kibali toka TFDA/TBS kama Tende zinafaa kwa matumizi ya Binadamu... ni Vyema ukawaona kabla ya hizo tende azijatumwa hapa Nchini
Hiki kibali huwa kinagharimu kama kiasi gani?
 
Mkuu mpka mzigo kufika si ramadhan ishaisha? Japo siku za kawaida zaliwa ila ramadhn ndy zaid
 
Document unazotakiwa kuwa nazo ni Kitambulisho Chako chenye jina linalofanana na Document atakazokutumia, TIN number na pesa za kutolea mzigo bandarini kwa malipo ya Port charge, wharfage, shipping line, Agent fee n.k

Document atakazotakiwa kukutumia ndugu yako ni Bill of Lading, Invoice na Paking list hizo document atazipata baada ya kukamilisha kutuma mzigo kule Saud Arabia.

Utaratibu ni kwamba, wewe utamtumia jina lako kama linavyoonekana kwenye vitambulisho vyako, utamtumia address yako, namba ya sim na utamwambia utatumia bandari ipi kupokea container, huyo ndugu yako atakamilisha kutuma mzigo kwa hizo taarifa ulizomtumia kisha atapewa document ambazo atakutumia wewe kwa njia ya DHL, ukishapokea document utasubiri tarehe ya meli kufika ili uendelee na taratibu za clearance bandarini kwa container lako.
Ila ukishapokea document tafuta Clearance Agent muaminifu mapema ili aweze kuwa anakupa taarifa za tarehe ya meli ya container lako kufika.
NB:
Pia ni vyema ukaenda TRA upande wa Customs ili kujua Kodi utatakiwa kulipa kiasi gani ili kujiandaa kifedha sababu Kuna watu wameacha mizigo yao bandarini baada ya kukosa ela kulipia gharama za container bandarini.
Ila ukihitaji taarifa zaidi kuhusu hayo mambo yote nitafute ili niweze kukupa mtu muaminifu Clearing and Forwarding Agent aweze kufanya kazi yako vizuri.

Ok
 
Back
Top Bottom