Did you ask, why sikupokea simu? Ulipoomba ile pesa nilikwambia usubiri baada ya muda gani? Do you know nilikuwa nipo wapi na kwa situation gani? I admit you called several times, and i missed your calls, but ukatuma message ambazo hakuna mwanaume atakayeweza kuzivumilia. But nikaamua kunyanyua simu kupiga tena. Sijaanza hata kuongea kuelezea scenario nzima ukaanza kunishushia mvua ya maneno ya kejeli ambayo tangu nizaliwe hahahaaaaa it was my first time. Nilibaki kustaajabu tu haki ya mungu, nilibaki kimya as usual nikuache utawale jukwaa.