Naomba kueleweshwa kuhusu hii tabia

Naomba kueleweshwa kuhusu hii tabia

Ha ha limekuja hivyo ila pesa haitoki embu tuma tena
Naomba niongeze kesho love... Maana hapa tayari nimetoka kulipia ushuru wa vogue ilio ingia juzi bandarani kabla ya ile siku nilipo pata ajali ya kupaliwa na pizza na kulazwa Apollo London....[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
We nitakupongeza ulishatuma
 
Hahahaha... Pole sana...
1. Mshapanga to meet later...
2. Badala ya kuona ujumbe wa nipo njiani nakuja. Anaona ujumbe wa naomba pesa nina shida.

Kama wewe ndiyo mwanaume ungechukua uamuzi gani kuwa mkweli?

Cc: mahondaw
 
Hope mpo poa
Jamani kwa mfano unakuwa na boyfriend na mmepanga kumeet vizuri tu baadae ikatokea kitu ukamwambia naomba unisaidie hela kwa maana kuna mtu anahitaji na mimi nipo mbali na sehemu ya kutuma hela isitoshe haujawahi kumuomba hata siku moja ni hiyo siku tu ndo imetokea ukamuomba hela......baadae unampigia simu kumwambia mambo mengine hapokei simu zako wala kukujibu text......hivi kwanini inakuwa hivi naomba kujua
Mmezidi. Tafuta zako uepuke kudhalilika, kwani pesa duniani zipo ili wawe nazo wanaume tu? Nyie si ndio kila siku mnataka haki sawa na mnajiita malkia wa nguvu? Malkia haombi ombi.
 
Tumeshakusamehe ila espy anataka part two [emoji3][emoji3][emoji3]

Sent from my D6603 using JamiiForums mobile app
Hii part two inaweza ikazaa ngumi mama[emoji3][emoji3][emoji125] [emoji125] [emoji125]

brain is the beautiful part of the body.
 
Hope mpo poa
Jamani kwa mfano unakuwa na boyfriend na mmepanga kumeet vizuri tu baadae ikatokea kitu ukamwambia naomba unisaidie hela kwa maana kuna mtu anahitaji na mimi nipo mbali na sehemu ya kutuma hela isitoshe haujawahi kumuomba hata siku moja ni hiyo siku tu ndo imetokea ukamuomba hela......baadae unampigia simu kumwambia mambo mengine hapokei simu zako wala kukujibu text......hivi kwanini inakuwa hivi naomba kujua
Kama unampenda kampe tu gegedo lkini usitegemee chochote kutoka kwake pole sana

Sent from my LG-D838 using JamiiForums mobile app
 
Kwanini umuombe yeye na siyo wazazi wako?
Si mtetei ila kuna umri sio kilakitu waombe kwa wazazi

Yani mtu anakuvulia pichu kabisa hafu dazen 1 ya chupi akaombe nyumbani kweli hii hii ni dalili ya kushindwa kuhudumia hata familia huko mbeleni.
 
Hata mimi lazima nijiulize mara tatu tatu.

Wewe unakuja kukutana na mimi. Sasa kwanini uniombe nikurushie pesa na wakati ukija ukaniomba face to face ndiyo rahisi?

Au kuna umbali wa kulala? Pia nitajua unaniomba pesa ili ujue mimi ni mtoaji au sio mtoaji! Na nisipokutumia ndiyo hauji.
Kama sijamuelewa vizuri huyo ni boy wake na imemtokea dharula huko aliko.ni kosa kumpa kampany

Sent from my LG-D838 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom