Naomba kueleweshwa kuhusu hii tabia

Naomba kueleweshwa kuhusu hii tabia

Haya espy na daudi muache kulumbana
Wapenzi washapatana wanapanga mipango mingine sasa

Sent from my D6603 using JamiiForums mobile app
 
Haya espy na daudi muache kulumbana
Wapenzi washapatana wanapanga mipango mingine sasa

Sent from my D6603 using JamiiForums mobile app
Hehe mimi nafanya jokes cha ajabu mwenzangu kanibadilishia mwandiko.

Ngoja nijiongeze ndugu yangu haya mambo wengine bado.

brain is the beautiful part of the body.
 
Hahahahahahaaa Neybright nawe utakuwa kama espy ushankupe mwingi😉😉
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Siunatujua wabongo shemeji mambo ya watu tupo mstari wa mbele ili kusahau magumu yetu acha kabisa hapa naskia burudani, Naweza geuka mshauri mkuu wakati yangu yamenishinda [emoji28][emoji28]

Sent from my D6603 using JamiiForums mobile app
 
Hata km ni mimi nisingepokea cm yako na ntakuwa nimekuacha hivohivo. Fikiri kwanza kwanini huyo boy wako hajakuomba hela? Alafu ni we ndo unaomba hela? Maanake baada we kumkubalia sasa ulitaka kumfanya kuwa mashine ya kutatulia matatizo yako. Wanawake muwe na nidhamu, mtu kutongozwa tu hapo hapo unaeleza matatizo yako kwa staili km unakopa vile, kumbe unataka umwuzie penzi kiaina huu ni ujinga. Na huyo boy huenda kweli alitaka akuoe, lakini kipimo cha awali kikaonesha we ni wale wale wafanyabiashara wa ng*no. Siku zote mchumba anaeomba hela sio mchumba bali ni mpiga mizinga. Mchumba wa kweli hapendi kupokea hela hadi abembelezewe sana kupokea.
 
Mimi sipendi kabisa mwanamke aniombe pesa.naijisikia raha sana nikitoa bila kuombwa. Yaani ukiniomba naona kama unataka tufanye biashara fulani hivi. Am sorry girls kama hamtopendezwa na tabia yangu.
[emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109]
 
Uniombe hela, kwani mimi ni baba yako....[emoji34] [emoji34]
Yaani uniombe hela, utadhani wewe ni mke wangu....[emoji51] [emoji51]
Hata kama ni shida, ebu acha kusingizia mambo ya umbali wa money transactions...[emoji45] [emoji45]
Kwani hilo tatizo la hela, limekuja ghafla kama kimbunga.....[emoji15] [emoji15]
Ebu acha mambo yako bhana.....
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Acha uchoyo
 
Kama hampendi kuombwa basi toeni tu kabla ya kuombwa.
hizo ndo zetu tunapenda wenyewe tutoe bila kuambiwa,uliza sasa kivipi?Ni mapenzi yale ambayo utamuonesha mpenzi wako kiasi kwamba mwanaume mwenyewe akajua kwamba hapa ninapendwa kwa dhati,ndio unakuta tunafunguka,kumnunulia gari,kumjengea nyumba,na vitu vingine vya thamani ili nae mwanaume kumuonesha pia anampenda.sio kushoboka tu,ukute mahusiano yenyewe yana mwezi tu utasikia,Baby nitumie laki mbili tu nataka nikasuke nywele'""hapo hakuna mapenzi ni wizi mtupu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Itakuwa ni daudi

Sent from my D6603 using JamiiForums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3]mnisamehe jamani.

brain is the beautiful part of the body.
 
Back
Top Bottom