Jawai
JF-Expert Member
- Nov 20, 2011
- 530
- 407
Pole sana, labda jamaa hakuwa na lengo na wewe alitaka kula mzigo na kukimbia. Sasa ulipoanza kumpa majukumu akaona unataka kujiweka moja kwa moja ndiyo akaamua kukimbia.Nilishamwambia mwenyewe na wala hakujishtukia uwa sipendi kuingiza masuala ya marafiki kwenye relationship yangu
Omba mungu utampata mwingine mwelevu.
Ila jihadhali na kueleza shida zako kabla hamjafamiana vya kutosha.
Mfanye utakaye mpata akuone ni mtu uliyetosheka na hali yako hiyo itakuongezea sana thamani.