Naomba kueleweshwa kuhusu hii tabia

Naomba kueleweshwa kuhusu hii tabia

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Anazunguka tuu mpaka karudi kwenye point

Sent from my D6603 using JamiiForums mobile app
Na nyie toeni buana, si mnataka haki sawa!

brain is the beautiful part of the body.
 
Mimi sishauri hiyo I'd ya zamani kuletwa hadharani maana yatazuka mengi zaidi ya mpesa/tigopesa siumemuona shemeji yetu mwenyewe alivyo na polite language au sijui anatuigizia ili wadau wamuone mwanamke mwenzetu ni mkorofi hapo sielew [emoji26][emoji26]
Mkuu mimi niigize ili iweje? Shemela wenu mwenyewe anajua nilivyomkimya @ Curious gal please baelezee
 
Yaani mtiane wote wawili ila adhalilike mmoja!! Acha sifa za kijinga dogo. Pambana na hali yako.
Jaribu ku-consider culture,fanya uchunguzi kuanzia leo,wanawake wanaoombwa tigo kwenye jamii zetu hizi za kitanzania wengi wao ni michepuko,nakitendo cha mwanamke kuliwa tigo sidhani kama mwanaume mla tigo hudhalilika kama mwanamke.Hii inafanywa hivi kwasababu ya moja ya sababu kua analipizwa kwa hongo anayopokea huyo mliwa,kwa hali hiyo basi mtaendelea kufanywa hivyohuvyo hadi mshike adabu,nyie jitoeni ufahamu tu,hizo hela mnazoombaomba zinahalalisha vitu vingi sana.
 
Hebu saidia kuelimisha hao wanaume wenzio labda watakuelewa wewe.
Wakishindwa basi njia ipo nyingine wajiunge nayo tu na hawatolialia tena.
Nilivyosoma comment nyingi humu nimegundua kuna watu wanacomment kwa stress za wapenzi wao. Mtu amevurugwa huko anakuja kumalizia hasira humu.
Mtu hajawahi kukuomba pesa na ndiyo mara ya 1 kwann usimpe? Halafu huo uhusiano wa kuwa na mwanamke bila kukuomba hela haupo tangu kuumbwa kwa dunia. Lbd km unapigwa mizinga kila siku hapo utaboreka.
Ila nashukuru mwanamke akipenda, atakupa hata sent yake ya mwisho ila kinyume ss wanaume.
Watu wacomment kulingana na uzi ila siyo kwa stress za wapenz wao
 
[emoji3][emoji3][emoji3]personally huwa napewa!

Namshangaa mleta uzi kwa nini analilia pesa za wanaume wakati wanawake wenzake wanatoa kwa waume zao.

brain is the beautiful part of the body.
Kumbe muda wote nahangaika na mario!!! Ama kweli brain is a beautifull thing to have and use.
Kwaheri.
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Kwani sisi tuliambiwa tuishi nanyi kwa akili? Ukijibu hapo utaona ni nani hana brain.
Sidhani kama unaweza elewa maandiko yalimaanisha nini kuhusu udhaifu mlionao, udhaifu unaanzia pale unapohama kwenu kumfata mtu kwake/kwao.

brain is the beautiful part of the body.
 
Sasa yanaishaje jamani wakati hawajatuambia hiyo id nyingine ni ipi? Au ndio huyu daudi maana limemkaba kweli hili.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Itakuwa ni daudi

Sent from my D6603 using JamiiForums mobile app
 
Kumbe muda wote nahangaika na mario!!! Ama kweli brain is a beautifull thing to have and use.
Kwaheri.
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Hehe!

Basi endelea kupokea pesa za wanaume majibu yake utayapata.
Mwenzio kaonjesha kidogo tu kakimbilia huku bado wewe unaejifanya mwili wako umeuwekea RIBA!

brain is the beautiful part of the body.
 
Hehe!

Basi endelea kupokea pesa za wanaume majibu yake utayapata.
Mwenzio kaonjesha kidogo tu kakimbilia huku bado wewe unaejifanya mwili wako umeuwekea RIBA!

brain is the beautiful part of the body.
Naendelea kupokea maana zake ni zangu. Vipi unataka uje unisaidie kupokea?
 
Haki sawa sio wajibu sawa. Maana hamuwezi kuzaa nyie.
Utazaa kivipi bila ejaculation?

Au na nyie siku hizi mnaejaculate?

brain is the beautiful part of the body.
 
Hata mimi najiuliza kama wewe

Sent from my D6603 using JamiiForums mobile app
Mapenzi yaache km yalivyo. Ndiyo maana waswahili wakasema. Wapendanao wakigombana shika jembe ukalime. Wapenzi wanaweza kugombana, kutukana n.k lkn mwisho wa siku ukawaona wanaishi pamoja.
Kesi za mapenzi huwa ni ngumu mno
 
Hehe!

Basi endelea kupokea pesa za wanaume majibu yake utayapata.
Mwenzio kaonjesha kidogo tu kakimbilia huku bado wewe unaejifanya mwili wako umeuwekea RIBA!

brain is the beautiful part of the body.
Kumbe wewe ndio umeanzishiwa mada!! Sasa mbona kumjibu ulikuja kwa id nyingine? Si ungemjibu kwa hii hii?
 
Mkuu mimi niigize ili iweje? Shemela wenu mwenyewe anajua nilivyomkimya @ Curious gal please baelezee
Basi sawa shemeji yetu, mjitahidi kuwa mnamaliza tofauti zenu wenyewe pasipo kuyaleta hadharani maana sio wote watakao waonea huruma.

Sent from my D6603 using JamiiForums mobile app
 
Mapenzi yaache km yalivyo. Ndiyo maana waswahili wakasema. Wapendanao wakigombana shika jembe ukalime. Wapenzi wanaweza kugombana, kutukana n.k lkn mwisho wa siku ukawaona wanaishi pamoja.
Kesi za mapenzi huwa ni ngumu mno
Ukute wako pamoja sasa hivi wanabebishana mie nimekaa nasubiri part two hapa.[emoji24] [emoji24]
 
Naendelea kupokea maana zake ni zangu. Vipi unataka uje unisaidie kupokea?
Aisee!
Nahisi umetoka kwenye uhalisia wa majadiliano na unaelekea kwenye lugha ambayo si sahihi.

Naomba niishie hapo dada angu, mimi battle sio umri wangu.

brain is the beautiful part of the body.
 
Katika vitu ambavyo wanaume wengi hatupendi ni kuombwa hela,nyie wadada sometime mnaboa haiwezekan mmepanga meeting ya kuongea masuala mengine we unachomekea hela.Ndio maana tunawabwaga kwa kuhisi ni walewale waku....utajua mwenjewe
 
Kama hampendi kuombwa basi toeni tu kabla ya kuombwa.
 
Back
Top Bottom