chingwanji.
Member
- Apr 22, 2015
- 12
- 13
Habari wakuu,
Mimi nimhitimu wa Diploma NTA level 5 katika chuo cha TIA Mbeya kada ya manunuzi na ugavi. Kama ilivyo siku hivi kazi zimekuwa adimu sana, kazi pekee zinazopatikana na zinatanganzwa mara kwa mara ni za AFISA UTENDAJI MADARAJA TOFAUTI.
Moja ya kigezo cha kuitwa kwenye usaili Ni kuwa na NTA LEVEL 5 katika kada kama, Uhasibu, Sheria, HR, BA, nk.
Naomba anaejuwa kwanini Procurement imetengwa ..Hata tukiomba hatuitwi kwenye usaili. Please anaejuwa 😭😭😭