Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,305
Tatizo vitu vingine huwezi kubisha hodi kwa mwenzio eti unaomba akupunguzie nguvu za kiume kama tunavyo punguziana salio penye simu zetu hii ni ngumu kama kupunguziana chaji penye simu zetu huwezi mwambia mtu simu yangu imeisha chaji nipunguzie.