Nanyimwa haki ya ndoa kisa simfikishi kileleni

Nanyimwa haki ya ndoa kisa simfikishi kileleni

rulama

Senior Member
Joined
Sep 8, 2014
Posts
195
Reaction score
133
Katika kipindi kigumu ambacho nimepitia ni wakati huu ambapo mke wangu mpendwa ananinyima tendo la ndoa kisa simkuni itakavyo hivyo kujikuta ninamchafua na kumuacha na hamu kubwa ya kutaka kuendelea na tendo.

Japo nimejaribu kumshawishi anivumilia wakati natafuta njia za kutatua tatizo la kupiga bao moja ambalo hata dk 1 haishi wazungu walishatoka.

Wakuu kuna mzizi ambao naweza kutumia ili niheshimike kwa wife?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom