DellaPina
JF-Expert Member
- Jun 19, 2016
- 1,019
- 3,520
Duuh hilo n tatzo na hamna m'mke anaweza kulivumilia kwa muda mrefu, hivyo nakushaur Fanya jitihada haraka upate nguvu ya kumwezesha mwenzako afurahie hilo tendo. Wanawake hatupend kuachwa njian kila mara maana mwsho wa siku hamu na huyo mtu huisha hutaman ht akushike. Hivyo kaka Fanya jitihada haraka sn kabla uvumilivu wake haujafika mwisho akapata anejua show yenyewe
Kabisaa upo sahihi