Kuwa na huruma jamaa anamatatizo mpe ajenge hali ya kujiamini ebo!!!!!?Hata mi ningekinyima kwnn ujipendelee pendelee mwenyewe mpe utamu mwenzako pia
Upo sahihi%Tatizo lipo kwako ukitaka ufanikiwe hilo kwanza ondoa hofu maana kunabaadhi hupata tatizo hilo kutokana na hofu.
Yaaani kamailianza kutokea Mara ya kwanza na ya pili halafu mke akakukatisha tamaa kwa maneno akili hujijengea kua nikiingia tuu dakika1 tiari na we ukikubali hivyo hakika itakua hivyo
Dakika moja hufikishi?Aiseee hata ningekuwa mie huo ungekuwa mtihani mgumu sana
Katika kipindi kigumu ambacho nimepitia ni wakati huu ambapo mke wangu mpendwa ananinyima tendo la ndoa kisa simkuni itakavyo hivyo kujikuta ninamchafua na kumuacha na hamu kubwa ya kutaka kuendelea na tendo.
Japo nimejaribu kumshawishi anivumilia wakati natafuta njia za kutatua tatizo la kupiga bao moja ambalo hata dk 1 haishi wazungu walishatoka.
Wakuu kuna mzizi ambao naweza kutumia ili niheshimike kwa wife?
Alafu tabia ya kukremisha kila mtu kapiga punyeto haijengiFanya sana mazoezi, kunywa maji yakutosha kwa siku, acha kupiga punyeto, kula vyakula vya protein kwa wingi,
Hii ndio dawa ya nguvu za kiume
Kweli kabisa mama. Mambo haya wakati mwingine husababishwa na matatizo yanayompelekea mtu awe na msongo wa mawazo.Ww usiongee hivyo ujafa haujaumbika mwanaume na ww hivyo
Zisije kuwa mbwembwe tu kumbe hakuna kitu. Wahenga husema debe tupu hupiga sana keleleMwanamke anatakiwa asuguliwe ipasavyo. Sasa wewe hata dakika moja hufiki-inamaana ndani ya sekunde mbili kwisha habari yako, ulimwoa wa nini?????? Muda wote huo ulikuwa wapi kutafuta suruhisho la tatizo hilo mapema?
Mruhusu akasuguliwa nje na wataalamu. Kama vipi nipe namba yake uone kama atarudi kwako.
Hongera mkuuKweli wanaume tunatofautina... by the way pole Mkuu.. Ila kama wadau walivyokwambia hapo, kwanza msosi na pia maandalizi ya kiakili, ukiweka concentration sana as if ndio mara yako ya kwanza au ya mwisho KUMKATA mwanamke basi lazima upige chini ya kiwango..
Inatakiwa wewe uwe na uwezo wa kujizuia mpaka unaamua tu kwamba sasa nataka nikojoe.. Yaani unamkojolesha mkeo mpaka 4 au vi5 halafu cha mwisho ndio unakojoa nae..
Wenzio hua tunaamua tu leo nimkojoleshe vingapi.. lakini hii pia inategemea sana na Chemistry yako na Mkeo.. Shirikianeni mtafanikiwa sana.
Unatakiwa upige mzigo mpaka mkeo anakwambia nooo sitaki tena bwana nitashindwa kutembea.
Hiyo dawa ni tiba au inariahirisha tatizo?Nenda duka madawa kanunue dawa inaitwa VEGA atakimbia kitanda..Onyo usitumie Mara kwa mara
Mmh...ata posts zako himu jf zimejaa vipele..mara dalili za kuchokwa na mume, jinsi ya kumkuna papuchi....Naona umeamua kuja kunishitakia huku mume wangu...
Toto zuri kule kwenye jukwaa la JF chit-chat kuna thread inaitwa mtongozano kiutu uzima,twende huko nikakutongoze mwaya!Pole mkuu
Ina mana tatizo limeanza ndani ya ndoa ama tangu uchumba?
Apa nafikiria kama anakunyima wewe ambae anadai unamchafua sjui atakua anampa nani uko nje asee
Sema mkuu fanya uende hospital
I kitu muim