Nanyimwa haki ya ndoa kisa simfikishi kileleni

Kweli wanaume tunatofautina... by the way pole Mkuu.. Ila kama wadau walivyokwambia hapo, kwanza msosi na pia maandalizi ya kiakili, ukiweka concentration sana as if ndio mara yako ya kwanza au ya mwisho KUMKATA mwanamke basi lazima upige chini ya kiwango..

Inatakiwa wewe uwe na uwezo wa kujizuia mpaka unaamua tu kwamba sasa nataka nikojoe.. Yaani unamkojolesha mkeo mpaka 4 au vi5 halafu cha mwisho ndio unakojoa nae..

Wenzio hua tunaamua tu leo nimkojoleshe vingapi.. lakini hii pia inategemea sana na Chemistry yako na Mkeo.. Shirikianeni mtafanikiwa sana.

Unatakiwa upige mzigo mpaka mkeo anakwambia nooo sitaki tena bwana nitashindwa kutembea.
 
Hapo sio kosa kwa mkeo,binadamu yeyote huwa anakereka sana anapokatishwa katika starehe,umeshajaribu kuunganisha ukashindwa(yaan unapopiz cha kwanza usitoe bunduki endelea kupampu na uvumilie ukakasi unaousikia kwenye kichwa cha bunduki afu na ujitahidi kuvuta hisia za mwanamke mzuri uliyewahi kumuona na kumtamani)
 
Hapo sio kosa kwa mkeo,binadamu yeyote huwa anakereka sana anapokatishwa katika starehe,umeshajaribu kuunganisha ukashindwa(yaan unapopiz cha kwanza usitoe bunduki endelea kupampu na uvumilie ukakasi unaousikia kwenye kichwa cha bunduki afu na ujitahidi kuvuta hisia za mwanamke mzuri uliyewahi kumuona na kumtamani)
Teh? Avute hisia za?
 
Pointi tupu

Hili tatizo limekuanza sasa au tangu zamani ulikuwa nalo?? ISIJE IKAWA YEYE MKE NDIO TATIZO MAPENZI YAMEKWISHA KWAKO, AU ANA MTU AMEMKOLEZA NJE NDIO hana hisia na wewe, Kama hana hisia na wewe ujue hata ule mizizi na hirizi huwezi mkojolesha, kingine jitahidi kuwa romantic, sio unaonyesha mapenzi mpaka ukiwa kitandani tu, akiwa jikoni nenda mpapase piga busu mwache, ukiwa chumbani hata kama huitaji ku DO Mpige denda endelea na kazi zako yani iwe hivyo, kwanza hiyo tabia inamjenga hata mwanamke kukumisi ukiwa haupo ndani n.k. punguzeni kurukiana kama kuku, halaf acha kuharakisha kudumbukia DUH!!! :):):) halaf vitu vingine hatuwezi ongea sana ukiongea sana inakuwa matusi wacha tuishie hapa

Kweli ukiendelea kidogo utaharib vibe da mens tunakaz mbona wanawake wengi now ni makungwi
 
Fanya mazoezi hasa kegel, squatting, na splinting ili kuimarisha misuli ya dushe lako hii itasaidia kukuchelewesha lakin pia muandae mwenza wako kikamilifu kabla ya mchezo wenyewe.
 
Pia inaezekana mwanamke ameshakuchoka kapata mkunwaji mwingine ndomanakwaupande wangu hua sipendi kuchepuka maana unaeza ukakutana na mtu anapiga kazi ukaona mumeo fala tuuuu bora nibaki njiakuuu kama nakosa utamu achaniukose tii
Safi sana hongera
 
nina miaka mitatu(3) sija sex....hata ivyo nina mashine ndongo...ivyo nakuwa naogopa niki sex na mschina naweza nisimlizishe...nifanyaje wadau...maana umri unaenda na nataman sana kuwa na GF...ila shida ndio hiyo.....naomba ushauli wenu tafadhari.....
 
Sasa wewe unaraumu mwanamke au? Unataka kilasiku kumuamsha hamu tu na kumuacha bora hakunyime si hajabu ata utundu una akufanyeje utajiju.
 
Unamwandaa?
Maana mwanamke usipomwandaa hafiki,na walio wengi wanataka round ya kwanza tu mafike
 
Back
Top Bottom