nani unamkubali/unamgwaya jf?

nani unamkubali/unamgwaya jf?

Malalamiko yako alishayaleta kwangu siku nyingi,
unachelewa kurudi home na ukirudi unalala mzungu wa nne.

nilikaa kimya nikifanya uchunguzi wa kimya kimya lakini kwa kuwa umesema
tutaanza kukufuatilia mimi mama mzaa chema.
ndio,acha nilale mzungu wa nne,mwenzio nikirudi home mambo nakuwa nshamalizia unga wa ltd,huko ni full mhemuko,tabu ya nini mtu mwenyewe konnie kwenye mambo ka gogo tu,wa nini,tumebakia kulea watoto tu.
 
Hivi ninavokuambia nakugwaya hunielewi? lol. Hata salamu za pasaka naogopa kutuma, nakukubali but nakugwaya!:disapointed:
karibu arusha,mwenzio nimeamia rasmi jana baada ya kukaribishwa rasmi na mwenyeji wangu.Wamjua weye?
 
Bishanga waitu,
tutarudisha mahari muda siyo mrefu,
labda ubadilike.

ndio,acha nilale mzungu wa nne,mwenzio nikirudi home mambo nakuwa nshamalizia unga wa ltd,huko ni full mhemuko,tabu ya nini mtu mwenyewe konnie kwenye mambo ka gogo tu,wa nini,tumebakia kulea watoto tu.
 
achana na vitoto hivyo,
hawakawii kubonda na mtwangio kwenye
mwelekeo wa ubongo.

rudi kwa mamaa mbona bado mdogo tu.

ndio,acha nilale mzungu wa nne,mwenzio nikirudi home mambo nakuwa nshamalizia unga wa ltd,huko ni full mhemuko,tabu ya nini mtu mwenyewe konnie kwenye mambo ka gogo tu,wa nini,tumebakia kulea watoto tu.
 
Hata kwenye list ya vismoo hausi nshakupiga chini.
Mbona unanfuata fuata?

ndio,acha nilale mzungu wa nne,mwenzio nikirudi home mambo nakuwa nshamalizia unga wa ltd,huko ni full mhemuko,tabu ya nini mtu mwenyewe konnie kwenye mambo ka gogo tu,wa nini,tumebakia kulea watoto tu.
 
Mimi napenda wote wenye mawazo ya kujenga, wachekeshaji, waropokaji, wakaidi. Hapa ni jukwaa ambalo watu wanathubutu kusema kwa uwazi na ukweli. Nisipokuabaliana nao haina maana kuwa siheshimu mawzo yao.

Lakini watu ambao siwavumilii ni watwanga matusi na wadini. Hawa wa mwanzo huwapuuza, nikiona wamezidi huwashitua na kuwaonya bila ya kuwaripoti. Wadini....mmmh...hawa hatupikwi chungu kimoja.
 
Mimi napenda wote wenue mawazo ya kujenga, wachekeshaji, waropokaji, wakaidi. Hapa ni jukwaa ambalo watu wanathubutu kusema kwa uwazi na ukweli. Nisipokuabaliana nao haina maana kuwa siheshimu mawzo yao.

Lakini watu ambao siwavumilii ni watwanga matusi na wadini. Hawa wa mwanzo huwapuuza, nikiona wamezidi huwashitua na kuwaonya bila ya kuwaripoti. Wadini....mmmh...hawa hatupikwi chungu kimoja.

Lipia haya maneno.... Yoote ni yangu! lol. Mzima kaka?
 
Jamani aliemuona Nyani Ngabu popote pale alipo anatafutwa!
 
Lipia haya maneno.... Yoote ni yangu! lol. Mzima kaka?
Hahaha, nilisahau kunukuu. Ninaheshimu hakimiliki.

Mzima mara Mdogo wangu! Mara nyengine huona umeadimika, lakini ninapokumbuka majukumu houna ndio sababu.

Kuhusu hili la matusi dada, msimamo wangu ni huu, "anayetumia uhuru wake wa kusema kwa kuktukana, ni bora zaidi kwako kutumia wajibu wako wa kujiheshimu kwa kunyamaza kuliko kutukukanana naye". Usimfukuze kichaa aliyekuibia nguo mtoni.
 
Mahatma Gandhi aliongea na I quote "If faced by an opponent conquer them with Love" Hivo mimi naamini saana; Unapo tukanwa na mtu, then yule mtu wamjibu kwa tusi ina maana unakua ushakubali tusi ulopewa kua lipo sawa. But ukijibu otherwise na kujaribu muelewesha, then unakua umembakishia na kumrudishia tusi lake mwenyewe.....

Haswaa! Majukumu hubana sana sometimes.... na nikipata mda ndio hivi twajuliana hali kwenye thread ya Bishanga...lol
 
Mahatma Gandhi aliongea na I quote "If faced by an opponent conquer them with Love" Hivo mimi naamini saana; Unapo tukanwa na mtu, then yule mtu wamjibu kwa tusi ina maana unakua ushakubali tusi ulopewa kua lipo sawa. But ukijibu otherwise na kujaribu muelewesha, then unakua umembakishia na kumrudishia tusi lake mwenyewe.....

Hii ni falsafa nzuri ya maisha. Laiti tungekuwa tuna busara na subira kama ya Mahatma!

Haswaa! Majukumu hubana sana sometimes.... na nikipata mda ndio hivi twajuliana hali kwenye thread ya Bishanga...lol[/QUOTE]
Hahaha! Hii imo, ikiwa Bishanga hatotushutumu kwa kuchakachua thread yake.
 
Hii ni falsafa nzuri ya maisha. Laiti tungekuwa tuna busara na subira kama ya Mahatma!

Hahaha! Hii imo, ikiwa Bishanga hatotushutumu kwa kuchakachua thread yake.

Huyu B' mchakachuzi nambari moja.... Asitubabaishe! lol
 
Back
Top Bottom