nani unamkubali/unamgwaya jf?

nani unamkubali/unamgwaya jf?

Duh. . .Poleni aisee.
Njoo basi upumzike UngaLTD.
nijivunge tena? hizi offer haziji mara mbili (zali la mentali) cheki 'location' yangu mpya kwenye profile yangu!
 
Malalamiko yako alishayaleta kwangu siku nyingi,
unachelewa kurudi home na ukirudi unalala mzungu wa nne.

nilikaa kimya nikifanya uchunguzi wa kimya kimya lakini kwa kuwa umesema
tutaanza kukufuatilia mimi mama mzaa chema.

Unamkubali konnie kwa lipi? Kwanza konnie mzushi hana mfano!
 
Back
Top Bottom