nani unamkubali/unamgwaya jf?

Niko naendelea kuandaa orodha yangu....
I will back soon kuwapa akina nani nawakubali na nani holaa
 
mimi naangalia kilicho andikwa siangalii id za watu sema kuna binti natamani nimfahamu ikiwezekana tuoane kama atakua bado hajawahiwa. anajijua coz pm kwake sichoki kumtumia. kwakua nipo serious naye siwezi mtaja coz hatajiskia vizuri.
 
Mmmh, wochi out.
Umeshaabyuziwa???
Utakuwa na akili kama za profesa bila kwenda darasani.

mimi naangalia kilicho andikwa siangalii id za watu sema kuna binti natamani nimfahamu ikiwezekana tuoane kama atakua bado hajawahiwa. anajijua coz pm kwake sichoki kumtumia. kwakua nipo serious naye siwezi mtaja coz hatajiskia vizuri.
 
Nauliza hivi,humu jf nani ni rafiki yako wa mtandao ambaye kwa sura hamfahamiani (hamjawahi kukutana physically wala kwa simu) lakini hisia zako kwake ni za mtu ambaye mko karibu (you are comfortable around him/her virtually) kiasi kwamba kupitia majibizano mbali mbali kwenye threads/posts unakuwa huna wasiwasi kuwa hata kidole (sio ulimi) kikiteleza hawezi kamwe kukuripoti abuse ukalambwa ban.In the same vein, je ni nani unamgwaya kiasi kwamba thread/post zake unazipitia pembeni au uki comment basi inakuwa ni kwa tahadhari sana maana unaogopa one mistake ataku report abuse ma mods wakutie bakora? sema tu usiogope.
ps: Bishanga ntarudi baadae na majina yangu ngoja kwanza nisokote kipande.

Mkuu, hii maneno imekuja wakati muafaka niweke duku duku langu..............

Huyu Binti yangu huyu...............Nitamtaja mimi!
Mie namtaja bana potelea mbali..............Anaitwaa................CANTALISIA$........!
Huyu Binti mimi namgwaya kweli, maana kila nikiweka VIJIMAMBO vyangu hapa JF vya ujanani, lazima anitie tumbo joto na kuni-BLACK MAIL.

Ndio maana sasa nataka kubadili ID yangu ili asinijue tena................Tena naomba umwambie anikome kunifuata fuata......LOL..................... JUST KIDDING

Mkuu ukisoma hii maneno DELETE.
 
haaaaaa,
umemsahau mmoja, kumbe hauna ujanja kwa binti zako,
lazima wakulinde usije rudia tena mambo yale ya zamani
si unajua siku hizi kuna ngoma.

Mkuu, hii maneno imekuja wakati muafaka niweke duku duku langu..............

Huyu Binti yangu huyu...............Nitamtaja mimi!
Mie namtaja bana potelea mbali..............Anaitwaa................CANTALISIA$........!
Huyu Binti mimi namgwaya kweli, maana kila nikiweka VIJIMAMBO vyangu hapa JF vya ujanani, lazima anitie tumbo joto na kuni-BLACK MAIL.

Ndio maana sasa nataka kubadili ID yangu ili asinijue tena................Tena naomba umwambie anikome kunifuata fuata......LOL..................... JUST KIDDING

Mkuu ukisoma hii maneno DELETE.
 
Mkuu, hii maneno imekuja wakati muafaka niweke duku duku langu..............

Huyu Binti yangu huyu...............Nitamtaja mimi!
Mie namtaja bana potelea mbali..............Anaitwaa................CANTALISIA$........!
Huyu Binti mimi namgwaya kweli, maana kila nikiweka VIJIMAMBO vyangu hapa JF vya ujanani, lazima anitie tumbo joto na kuni-BLACK MAIL.

Ndio maana sasa nataka kubadili ID yangu ili asinijue tena................Tena naomba umwambie anikome kunifuata fuata......LOL..................... JUST KIDDING

Mkuu ukisoma hii maneno DELETE.
Hahha hahahha hahahha,
This is my day,a.k.a Gustavo,
Pole baba yani utake usitake nakomaa na ww mwanzo mwisho mpaka uachane na dada Glady!!!!!!
 
ndugu yangu Aspirin,sikubaliani na wewe.Hebu niambie ,ni wangapi humu jf unadiriki kuwambia kuwa 'umewazalisha mapacha watatu'? you see? hao unaoweza kuwatania kihivyo ndo nasema you are comfortable around them ( na si lazima mnafahamiana physically) na si kila mwana jf.
Bila kujali itifaki wala upendeleo. Jinsia ikizingatiwa kwa imani ya babu kutokana na miandiko yao.
1. Kongosho asali ya ODM
2. AshaDii shem la Ukwee
3. Lizzy dada langu
4.Michelle wa mapacha yangu ma3
5. Cantalasia binti Mtambuzi
6. Mwali (sifa inahifaziwa)
7.Sweetlady
8. MwanajamiiOne
9. Blaki Womani
10. Preta
11. Sweetlady
12. Afrodenzi kijukuu kiteule
13. ZionDaughter mchumba wa babu
14. King'asti
15. Russian Roulette mwoga wa kunilamba ban
16. bht my real Mamushka
17. Amyner ka ukweee
18. Obsesd kijukuu kivivu
19. Dena Amsi mtoto mtukutu
20. Fixed Point mama mkwe wangu
21. Lily Flower jidada la ODM
22. Kabakabana kjukuu chema cha ODM
23. Smile kijukuu kidekaji
24. Husninyo kijukuu cha kambo tokea mpwapwa
25. ............
26. Nimemsahau kiduchu damn me!
27. Anajijua sataki kumtaja hapa
28. Bado sina uhakika wa jinsia yake
29. Badili tabia
30. Mamndenyi... atakuwa wa kwetu Rombo huyu...

Vidume:
1. Klorokwini
2. Felo tablet
3. Fellow Tablet
4. klorokwini
5. klorokwini
6. FT

Naowaogopa?
Hamna

Nisiowapenda?
Invizibo
 
Back
Top Bottom