nani unamkubali/unamgwaya jf?

nani unamkubali/unamgwaya jf?

salamu zenu jamani... nawapenda woooote nawaogopa wengi tuuuuuu!! Akianzza Uncle Bishanga!! huyu unaweza ukajikuta anakufundisha hatari!!
 
Yaani nimesisimka mpaka kimwaga mkojo changu kimegoma kufuata sheria bila shuruti.

Hebu Come this way Yum... Yum...Yummy.
Nakukaribisha kwenye familia yangu.
Ukaguzi kwanza kama kawaida.
Yummy....Yummmy....Yummy.....kimbia , nunda mla watu aja huyo.....kimbia!
 
marafiki wa jf ninaowahusudu au kuwaignore hawakosekani. ni kutokana na category za majukwaa na pia kutokana na comments zao hasa wanapojadili mada husika
Kuna mtu akizungumzia jambo fulani kwa ufahamu mpana ama akili ndefu ndefu hata kama ulikuwa gizani ama japo kulijua jidogo ila huwezi kudescribe kama yeye lazima umfeel
Mtu anayecomment panapohitajika acomment
Mtu anayekujibu accordingly either kusapoti au kukosoa kulingana na comment au thread yako.yaani usitegemee kuanzisha uzi wa buibui halafu ukibanwa umchukie mtu..NO!
Vinginevyo i hate those who are nuisance commenters
Kama nani?
 
salamu zenu jamani... nawapenda woooote nawaogopa wengi tuuuuuu!! Akianzza Uncle Bishanga!! huyu unaweza ukajikuta anakufundisha hatari!!

Hahahaha ya hatari yapi hayo smiling? cheating?
 
Maumivu ya kichwa huanza pole pole na mapenzi ya Michelle na HC yalianzia kwenye keyboard.............should i say anything more?

Go on. . .
Ya hapa nilishaona hayalipi hivyo SIDANGANYIKI. Natulia na . . . . . . . wangu.
 
Acha uchokozi. . .
Bado sijaamka. . .wewe?

Mi niko bize kwangu hapa kigogo mvua maji yameingia ndani kila kitu kinaelea,tabu tupu,sijui nihamie unga ltd?
 
Back
Top Bottom