hakuna ninaye mgwaya humu....
Nawapenda woooooooote na woooote mna nafasi sawa kwenye mtima wangu.....
Ila hawa wafuatao mie nawazimikia kwa sana, napenda ushauri wao, inapokuja swala la utani pia hata kwa kusoma majibizano yao wananiongezea siku za kuishi....
Asprin........your my no 1
Kongosho....... Nisipokuona jamvini napata malaria
ErickB52
Bishanga......nakuzimia vibaya mno
The Finest......avatar yako inanifanya nisiache kuitazama
Mtambuzi....... I love u vere vere
cantalisia
mwali
Husninyo......siku zote hunipa tabasamu
Preta.....napenda rangi unayotumia kuandikia
sweetlady.....nakupenda haswa ukiwa kwenye siasa
afrodenzi....sina mazoea nawe, napenda unavyoshauri
ashadii...nakuadmire kutokana na posti zako
RR
figaniga, sijui kapotelea wapi mzee wa mia!
Lizzy.....upo very direct, hukwepeshi ...nakuzimia
mamdenyi
nyani ngabu
bagah
boflo...........
Amyner
nitonye
blaki woman
king'asti
kipipi
nyumba kubwa....hiyu nilimkuta kipindi ndo nimejiunga jf, nilikuwa napenda kusoma comment zake
na wengine ambao sijawataja nitaendelea kesho........