FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,422
Napita tu wapendwa kuna nayemkubali ananijua mwenyewe
Basi tu!
Sipati picha hizo ndita za "mumeo" zitakunjwaje Bishanga akija
Hehehehe. . .
Tena tukifika namkaribisha alafu namwambia hubby "Baby, embu naomba unitajie namba yangu simu kuna huyu jamaa kaniomba."
Na simpatii picha Bishanga na upaa wake,atakavyokuwa mdogo kama kidonge kidogo kuliko vidonge vyote duniani...Piriton...Ah kuna cha Vitamin B complex..
Kwanini awe mdogo wakati baba mwenye nyumba hana matatizo. Atamkaribisha alafu ataniambia tu niangalie kwenye simu yake mtu aloseviwa kama "Wife".
Mh...
Bishanga atatamani ardhi,ipasuke adumbukie ndani.. Ngoja arudi niongee naye kikwao...
Kwanini sasa. . . . ?
Nimewahi kuambiwa kuwa watu wote wa JF wanamgwaya Gaijin, nashangaa mpaka muda wangu jina langu halijatajwa .....au ndio katika kugwaya huko?
Kwahiyo utajiri wake ndio utamfanya anywee?Bishanga si tajiri la Kihaya?
Atanywea tu,maana mifweza yake haitakutoa kwa mwandani wako...
Kuna watu huwa wanajitwisha mamlaka ya kuwa wasemaji wa wengine bila hata kuombwa...Nimewahi kuambiwa kuwa watu wote wa JF wanamgwaya Gaijin, nashangaa mpaka muda wangu jina langu halijatajwa .....au ndio katika kugwaya huko?
Kwahiyo utajiri wake ndio utamfanya anywee?
Kuna watu huwa wanajitwisha mamlaka ya kuwa wasemaji wa wengine bila hata kuombwa...
Hii ndo Jf anajisemeaga Ngabu wangu 'JF ni msitu'
Hhehehehehe sinilishamtaarifu?Weh!
Kukutana red- handed na Mr wa Lizzy.. Laaiiivuuu,unadhani mchezo!
Duh! ......
Yeah ukishawajulia waja wanapenda kusema sema basi wewe keep them busy by giving them something to talk about kisha wee unaendelea na yako
Sina mpenzi ngedere. . .
Ni mwanaume wa shoka. . .Ukitaka kumfananisha na mnyama basi ni nzagamba.
he he he he
hadi nzagamba ushajua??
Kweli uko deep.
n n n n n n n!!!!!!!!